Natafuta kazi mikoa ya Dar na Morogoro

Jun 16, 2022
6
8
Mimi Niko Morogoro, age 23 mzima niko na mada hapo nawasilisha. Alie na connection ya kazi zifuatazo kwa MORO au DAR naomba

Kupakia na kushusha tofali za cement
Kushusha cement kwenye semi
Kupandisha zege gorofani
Kupakua mizigo kwenye magari

Pia Kama mtu ana upeo na kazi za ukuli bandarini anipe ufafanuz kidogo kuusu kupakua mizigo na Bei zake za mauzo zimekaaje

Nna uzoefu na kazi hizo zote kwa Alie tiari kushare kazi anichek apo
whatsup 0627235360
 
Daah ila hizi kazi za ukuli zinahitaji uzoefu aisee la sivyo unavunjwa shingo.
 
Back
Top Bottom