Ukweli mchungu: Bandari ya Dar es Salaam inahitaji mwekezaji haraka

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
 
Mbona hawaja tangaza ili tupeleke maombi yetu sisi wawekezaji ikiwa kuna umhimu huo?
 
Kwani serikali yenyewe yenye uwezo wa kuwaajiri, kuwaongoza kuwasimamia na kulipa zaidi ya wafanuyakazi 300K ikiwemo na majeshi na kuwatunza wanyama wote mbugani huko na kuhakikisha survival yao inashindwaje kusimamia bandari? Sema tu wakubwa wanawapa chapuo wapendwa wao ila wanasingizia hili na lile
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
Gharama za kutoa mzigo Dar Port zimeongezwa makusudi na viongozi wa CCM ili tupige kelele ibinafsishwe kupata unafuu.

Serikali ina uwezo wa kupunguza gharama na ikapata faida kubwa. Kama mwekezaji anakuja na gharama nafuu halafu bado akailipa Serikali ambayo ikapata faida kubwa, sasa hiki kinachoendelea ndiyo uchawi wenyewe.

CCM hawana nia njema na Tanzania. Vyombo vya ulinzi na usalama vimepigwa upofu kwa kupumbazwa na teuzi zenye mweleko wa rushwa ya kisiasa hivyo wwnashirikiana na hiki chama kupora kura kwenye chaguzi kuu

Hizi changamoto zinatatulika pale ambapo CCM itawekwa pembeni.
 
Gharama za kutoa mzigo Dar Port zimeongezwa makusudi na viongozi wa CCM ili tupige kelele ibinafsishwe kupata unafuu.
Kama lengo ni hilo akili zao matope, akiwekwa muwekezaji ataongeza zaidi kwakuwa ataweka gharama na faida yake on yop of kile atakacholipa serikalini
 
Ukiangalia mkataba wa DPW kumeonesha upo unafuu wa kutoa mizigo bandarini.......

Wana akili zinazonuka hawa jamaa zetu
 
Kama kuna unafuu kwanini serikali isichukue maarifa hayo iyatumie yenyewe? Kuprove kuwa wameshindwa kuendesha kila kitu basi wabinafsishe na majeshi, kwasababu kama majeshi yenye silaha yanawatii na kuleta tija, inakuwaje washindwe kuwasimamia wafanyakazi wasio na silaha?
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
Hakuna anayepinga ila tatizo ni terms of contract labda mwambuksi awepo kwenye negotiations ila kwa hawa wajanja waliopo hatutoboi
 
Kama lengo ni hilo akili zao matope, akiwekwa muwekezaji ataongeza zaidi kwakuwa ataweka gharama na faida yake on yop of kile atakacholipa serikalini
Kweli mkuu zanzibar waliendamana last week wakipinga kuongezewa ushuru na mwekezaji mpya bandarini
 
Na Mwl Udadis, Tarime

Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu yenye uwezo mdogo wa kazi kama vile upakuaji wa mizigo.

Kwa kuwekeza katika miundombinu, tunaweza kupunguza kusubiri kwa meli kutoka siku 5 hadi masaa 24, na kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka siku 4.5 hadi siku 2. Hii itasaidia wafanyabiashara na kuwavutia watumiaji wengi wa bandari kutoka nchi mbalimbali na pia mzunguko mkubwa wa biashara katika bandari hii.

Changamoto nyingine ni utegemezi mkubwa wa Bandari yetu hii kwa watoa huduma binafsi kama vile ICDs(Inland Container Depots) na CFS(Container Freight Stations). Hii inaathiri ufanisi wa bandari kwa kiwango kikubwa na ni changamoto inayoweza kumalizwa ndani ya muda mfupi ikiwa muwekezaji serious atapewa kazi na kuwekeza.

Inaweza kuwa vigumu kukubali ukweli, lakini ni muhimu kuelewa kuwa Bandari ya DSM ni rasilimali muhimu ambayo haijatumika vyema. Kuwa na muwekezaji mwenye uzoefu wa kimataifa katika uendeshaji wa bandari kunaweza kutoa suluhisho la changamoto hizi na kufungua ukurasa mpya wa uchumi wa nchi yetu kupitia rasilimali hii adhimu.
Acha ujinga na upopona. Nani aliyekwambia bandarini hakuna mwekezaji
 
Back
Top Bottom