Natafuta kazi CPA (T)

Natafuta kazi CPA (T)

kirue

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
273
Reaction score
86
Jaman wanajamvi mim ni mhanga wa unempolyment ...Natafuta kazi...
Mim nina shahada ya uhasibu,CPA na uzoefu wa miaka 3...Nililazika kuacha kazi na kwenda kuuguza kijijin kwa mieza saba mfululizo ....Cha kusikitisha nilieenda kumuuguza naye mungu alumpenda zaidi....ni muda sasa toka nianze kifafuta ajira bila mafanikio...Nimeona bora nilete shida zangu huku may be ntasaidika.
 
Mungu akubariki utapata soon unakila zana ya kupatia kazi ya Acc usiloose confident cos hujawa na kazi conf ndio hazina yako kuu go to the interview with your head held high
 
Back
Top Bottom