Nipo Dodoma nisaidieni kibarua chochote

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Habari wakuu, nisaidieni kijana wenu nipate kibarua chochote nipate hata njia ya kukusanya mtaji.

Hata mwenye connection naomba anisaidie nimekwama huku mtaani hata kuchimba mifereji nayo bila connectio ni ngumu kupata.

Ninafanya kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au hata za sales na marketing nafaanya pia naweza kutumia computer ms excel, word pia nina mafunzo ya Jkt kujitolea, kwa atayeguswa naomba msaada wake.
 
Kama ni wa kiume na unaweza kazi ngumu nenda MSD kizota industrial area karibu na machinjioni wanajenga godown jipya kubwa pale mshahara elf11 per day.. wanaandikisha wafanyakazi kila j5 nafkiri so jitahid ufike pale j5 asbh na mapema sana onane na foreman.
Umempa Mwanga
 
Ahsante sana mkuu umenipa mwanga, hapahitaji connection yoyote,?
 
Kama ni wa kiume na unaweza kazi ngumu nenda MSD kizota industrial area karibu na machinjioni wanajenga godown jipya kubwa pale mshahara elf11 per day.. wanaandikisha wafanyakazi kila j5 nafkiri so jitahid ufike pale j5 asbh na mapema sana onane na foreman.
Oyaaah wanalipa kwa wiki au mwezi
 
Ukiona kijana wa Dodoma anahitaji kazi wengi wameenda kutafuta maisha ila wenyeji ndugu zetu wagogo wayangu chilimwaka kazi kwao ni mateso sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom