Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

Lumos

Member
Nov 28, 2021
43
33
Habari ndugu zangu, natafuta kazi au kibarua chochote halali ili niweze kujikimu kimaisha.

Kwa mwenye connection ya kazi au kibarua hasa maeneo ya Ifakara tafadhali naomba aniunganishe.
 
Wakati unaendelea kutafuta kazi, fanya vingine ambavyo si lazima uajiriwe mfano biashara ndogo ndogo.
 
Asante kwa ushauri ndugu, Ila kwa sasa sina mtaji, ndo maana natafuta kibarua niweze kupata mtaji.
Mtaji jidhamini nenda duka la jumla mali kauli chukua asubuhi tembeza rudisha kabla awajafunga mzigo uliobaki,ukiuza lipa kwa ajili ya kesho hivyo hivyo
 
Naona Kama ni ngumu mtu kukuamini mpaka akukabidhi bidhaa kwa Mali kauli
 
Dhamana ndo mtaji.
Usikae ndani eti unangoja mtaji Nini ufanye
Tafuta watu wenye dhamana wanaokufahamu kwenye jamii yako wakudhamini sehemu
1.upate pikipiki ya mkataba
2.Kazi za kujitolea vijiweni mfano saidia fundi kama ujenzi,rangi, welding,seremala, garage ,ukonda,utingo, dukani, tuition nk nia utumike kwa Nia ya kujifunza.
 
Asante kwa ushauri
 
Anaweza akapata wazo likazaa kazi,wote wamepita huko.
Kazi gani utapata Sasa hali hata wenye kazi Wana ndugu zao hawana kazi
Sijawahi kuwaza Kama ntakuja kupitia nyakati Kama hiz, Leo asubuhi nimeamka sina hata Mia na Nina familia inanitegemea.pamoja na kuzuguka kote nimeambulia buku 2 na mpaka sasa sijui kesho itakuaje.
Kama Una kazi iheshimu Sana, usiombe kuwa kwenye situation niliyonayo Mimi wakati huu.
 
Tunapitia mengi then umepambana we siku mambo yamegoma umepata buku 2 unamua umeshinde njaa,unatembea kwa mguu toka mjini hadi home unaitunza buku 2 walau ufike home ununue Mihogo mpike na uji uangalie kesho.
Unafika home unampa wife buku 2 afanye maarifa anaishia kuku vunja moyo kwa matusi na kashfa na buku 2 yako.
Kesho hata nguvu ya kupambana utaiotoa wapi.
Baraka na laana kwa mume utoka kwa mwanamke.
 
We acha tu ndugu, hapa nilipo nawaza na sipati jibu, yani najiona kabisa nimekonda.But sijakata tamaa, naamini MUNGU atanivusha hapa, japo bado naona Giza mbele yangu
 
Bora uzima, kupambana na familia ni mtihani sana,unakuwa Kama gundi huwezi toka ukaacha familia lazima urudi jioni.
Upate tu mke anaemjua Mungu ndo utapita salama na Sio Hawa dotcom wajasiliandoa usiombe maana mtaani moto nyumban moto, mwanaume kama huna pesa huna sauti ubabe hausaidii.
Pole usikate tamaa hata sisi tulipita huko.
Tulikua walinzi Leo tunalindwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom