Natafuta kaka/dada

hahahahahah!!! sasa mbona umetishika hivyo ilihali hao wote ni wadogo kwako???
mm nimekutania ili kujua umesimamia wapi kumbe basi huna ukubwa wote mnake hao wote niliokutajia ni wadogo kwangu...................seriously.
 
Duuh nlikua nakuja kifua mbele nkijua nafaa kumbe km Mwanajamiione katolewa nnje mi ndo hata sikaribii haswa. Haya nna, all d best
Angel Nylon, yaani hadi dakika hii mwenyewe siamini. Sijui nikate rufaa? Unanishaurije Da mdogo wajua inauma...............
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu.... mimi sijakataa kuwa EMT ni kaka yako..... hilo nalikubali kabisaaaaaa, tena umefanya vizuri kumwamkia, ila mimi ninachokataa ni kuwa kaka yangu

Ushahidi wangu uko wazi. I wish wakati ule kulikuwa na fideo ningeiweka hapa kabisa
 
Udhahidi wa King'asti utakuwa ni hearsay tuu ambao haukubaliki mahakamani.
 
Last edited by a moderator:

Nilijuw kuwa mwisho wake supu itaogeshwa maji ya kisima.

Bora ungetusikiliza....

Nasubirii haki yangu sasa....lol!!

Babu DC!!
 
hahahahahah!!! sasa mbona umetishika hivyo ilihali hao wote ni wadogo kwako???
mm nimekutania ili kujua umesimamia wapi kumbe basi huna ukubwa wote mnake hao wote niliokutajia ni wadogo kwangu...................seriously.
rafiki nimekununia ujue.....
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…