Umoena na wewe teacher eti......
Huyu kafualu lile some tishio ndo maana anataka kila mtu mjini ajue kwamba yupo..lol!!
Haya basi, mwambie apige shikamoo kwa kakake..!
Babu DC!!
he he heeeee, ndo nnachokupendea rafiki yangu gfsonwin..... huwa humung'unyi.....shoga yangu Fixed Point nikwambie pa kwenda kumwona huyu anayejiita babu??
halafu mwenyewe utasema anastahili shkamoo ama hastahili??
manake hapa naona kaja na gia ya uchokonozi kwangu.
uuwwwiiiiiii pamoja na ku+ na kuX ndo ukapata hiyo?nina miaka 39!! ehee..unaniambiaje sasa!! Fixed Point
shoga yangu Fixed Point nikwambie pa kwenda kumwona huyu anayejiita babu??
halafu mwenyewe utasema anastahili shkamoo ama hastahili??
manake hapa naona kaja na gia ya uchokonozi kwangu.
teh teh tehhhhh umemsoma lakini mwalimu?Umoena na wewe teacher eti......
Huyu kafualu lile some tishio ndo maana anataka kila mtu mjini ajue kwamba yupo..lol!!
Haya basi, mwambie apige shikamoo kwa kakake..!
Babu DC!!
ha haaaa, asomeke vipi tena? kwani mawani yako yamekuwa ya mbao ghafla kiasi kwamba huyaoni maandishi yake.....Mbona husomeki teacher??
Au umemfukuza mwanafunzi arudi class??
Nadhani leo umsamehe kwani ukimwaga ushahidi thread itafungwa kabla hajamaliza 5min break..lol!!
Babu DC!!
too late.....Hao watoto achana nao....
Natamani kumwambia teacher akusamehe...au wewe unaonaje??
Babu DC!!
ukweli rafiki mpaka sasa sijapata....hivi babu hujamgundua huyu??
lakini sasa ngoja kwanza nianze kumuuliza hivi mpaka sasa hivi ameshapata watu wangapi ndio makaka na madada??
ukweli rafiki mpaka sasa sijapata....
kila anayekuja ni mdogo wangu.
hili zoezi naona hata halitafanikiwa. labda nifumbe tu macho na kuchagua hata mdogo mmoja awe kaka/dada?
babu noamba nimpe evidence khaaa!!!Mbona husomeki teacher??
Au umemfukuza mwanafunzi arudi class??
Nadhani leo umsamehe kwani ukimwaga ushahidi thread itafungwa kabla hajamaliza 5min break..lol!!
Babu DC!!
hiiv kwani wewe umri unauhesabu kwa miaka ya kusoma ama miaka ya kuzaliwa ama miaka ya kuzaaa??ha haaaa, asomeke vipi tena? kwani mawani yako yamekuwa ya mbao ghafla kiasi kwamba huyaoni maandishi yake.....
kwa lugha nyepesi amekukana, lol!
sijui nikuambie uanze kuamkia hapa hadharani au nikuambilie chumbani, lol!:tape:
ha haa wewe nina evidence, usifikirie hata kwenye mawazo yangu haumohahahahhahahah!!!!!!!!!!
umenichekesha sana haya ngoja nikusubirie nione.
akirudi hapa utaniambia....babu noamba nimpe evidence khaaa!!!
manake nataka sasa kuukata huu mzizi wa fitina.
manake naona hiki cheo cha ukubwa watu wanataka kunyang'anya wenzao
mmmhhhh! hapa nina wasiwasi kidogo.... hii kona ya ghafla ni hivi hivi tu au kuna catalyst?hiiv kwani wewe umri unauhesabu kwa miaka ya kusoma ama miaka ya kuzaliwa ama miaka ya kuzaaa??
kama ni kwa miaka ya kuzaa basi wewe na mwaJ mko age mate, ila wewe na mimi mimi mkubwa, kama ni kwa miaka ya kusoma basi wewe hata kwa Asprin ama chuachakara ni mkubwa na kama ni kwa miaka ya kuzaliwa basi nakuambia wazi Dark City, chuachakara, Mamndeny hao ni wakubwa kwako.
nimenawa mikono kama pilato!!!!!!!!!
mmmhhhh! hapa nina wasiwasi kidogo.... hii kona ya ghafla ni hivi hivi tu au kuna catalyst?
wewe na mwaJ naomba tu tuheshimiane..... muendelee kukubali kuwa mimi ni dada yenu..... (kama namwona Mwaj) Mamndenyiiiiiiii, nitamfikiria.......
hapo kwa Dark City na huyo mwingine sijampata itabidi tuangalie upya
ha haaaaa, umeona eeh!
yeye mwenyewe Mwanajamiione alikuja kifua mbele akagonga mwamba, sasa huyu sijui ni classmate wa snowhite, lol!
wewe ndo umeharibu maana nzima ya huu uzi....hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.
kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy