Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #81
marahabaaa mdogo wangu....unadhani nna la kubisha......
shikamoo dada!!!!!!!!
ha haaa, shikilia vizuri hizo mbavu, zaweza chomoka, lol!lol!!!! Hahahahaha mie mbavu sina 🙂🙂 Nimeiangalia tena BC yako mmhhhhh! Wapenda ukubwa weye!!!!
FP kwa kifupi tu mimi ni kaka yako mkubwa, ila tatizo ni kwamba urafiki hauna mipaka ya umri. Dada humsaidia kaka na kaka humsaidia dada. Suala la msingi ni mawasiliano na kushirikiana katika taabu na raha. Naomba urafiki.Jamani huku matangazo mengi sana ya kutafuta mke/mume/mpenzi yamezidi.....
mimi nakuja kiroho safi kabisa kutafuta dada/kaka angalau na mimi nipate wa kumkimbilia kukitokea mabounsa....
nina uhakika nina wadogo zangu wengi sana huku.... snowhite, cacico, Kaunga, Zion Daughter, Dena Amsi, Mwali, Erickb52, C6 Young Master, mwaJ (hapa ngumi zikitokea tusaidiane), sister, Madame B, Kipipi, KOKUTONA, lara 1, amu, Lady doctor, Passion Lady, dada white, ladyfurahia, Arabela, Chocs, mimisa, Heaven on earth, MwanajamiiOne, FirstLady1, charminglady, Nicas Mtei, Katavi, Mphamvu, bombom, Tized, Mentor, Arushaone (teh teh tehhhh), gfsonwin, Paloma..... na wengine wengi tu.
pia nina pacha wangu Nivea... na binamu Jiwe Linaloishi, wifi na mdogo wangu Preta
kwa wale wooote ambao wanahisi wanaweza kuwa kaka/dada zangu wajitokeze. vigezo na masharti kuzingatiwa (uwakilishaji wa birth certificate unahusika hapa).
cc. mwaJ (kama kweli unataka kuepuka kuniamkia huu ndo muda wako), Dark City..... BAK.... (jana nimekuambia uniamkie ukasepa.... leo nataka kujua kama kweli na-deserve li-shikamoo toka kwako ama la).... The Boss... Nyani Ngabu.... MziziMkavu, mtani wangu watu8, kama nashindwa kuwasoma vile.....
huyu mkwe Asprin na ma-ODM wenzake Kaizer, KakaKiiza, Mtambuzi, EMT, Bishanga (mmmhhhh!!!), RR nasubiria vyeti vyao ili nijue niwaweke upande gani.... maana kama hawasomeki vile.....
pamoja na kuwa naupenda sana udada mkubwa lakini na mimi nahitaji kuwa na dada ambaye angalau naweza kudeka ninapoamua kuwa mvivu kufikiria...... awe ananitafunia na kuniambia cha kufanya..... akina Mamndenyi, AshaDii, nyumba kubwa, Ablessed, Kongosho?????, Nyamayao ....... yaani nyie nawahisihisi tu kutokana na michango yenu..... mpaka mtakaposubmit vyeti vyenu ndo nitaamini......
hii inawahusu wootee wanaofaa kuwa kaka/dada zangu
narudia tena, vigezo na masharti kuzingatiwa........:help:
kwi kwi kwiiiii... watu wanaupenda ukubwa jamaniiii...
shida yote hii ya nini mtani?
wewe kubali tu kuniamkia yaishe kimya kimya
yaani umeenda extra mile hadi ukam-bribe Paw? hii ni unacceptable..... lazima wadau wa jf ujue...
cc. Invisible, Mike McKee, Maxence Melo
mimi na wewe marafiki bana.... huna haja ya kuomba....FP kwa kifupi tu mimi ni kaka yako mkubwa, ila tatizo ni kwamba urafiki hauna mipaka ya umri. Dada humsaidia kaka na kaka humsaidia dada. Suala la msingi ni mawasiliano na kushirikiana katika taabu na raha. Naomba urafiki.
ha haaa....Usije ukamfanya Mod wa watu akafukuzwa kazi hivi hivi.
Siku hizi umri siyo tena kigezo cha nani amwamkie nani. Nilidhani uanalijua hilo.
Hivi wewe Fixed Point una nini hasa??
Hebu kasome shule huko.....,
Nimeshakwambia kuwa huna lako kwako zaidi ya kunipa haki yangu kama kaka yako!
Babu dC!!
babu longo longo ya nini?Hivi wewe Fixed Point una nini hasa??
Hebu kasome shule huko.....,
Nimeshakwambia kuwa huna lako kwako zaidi ya kunipa haki yangu kama kaka yako!
Babu dC!!
Hivi wewe Fixed Point una nini hasa??
Hebu kasome shule huko.....,
Nimeshakwambia kuwa huna lako kwako zaidi ya kunipa haki yangu kama kaka yako!
Babu dC!!
Of course FP, I'm your friend. But..... mmmmm. ok, ok...... I now understand.mimi na wewe marafiki bana.... huna haja ya kuomba....
najua sana urafiki hauna mipaka, nakubaliana na hilo.
kama umechagua fungu la rafiki wala huhitaji kuleta cheti chako,
ya cheti ni muhimu kwa wanaotaka kuwa dada/kaka/ (mama/baba????) hili haliwezekani maana itakuwa kashfa, lol!
you are my friend bombom
ha haaa.... una uchungu wa kujua wewe ni dogo kwangu......Bora umekuja maana Fixed Point karusha tambo hizooo utadhani dunia nzima ye ndo mkubwa peke ake.................... mie bado namsoma ole wake iwe sivyo
nimefurahi ume-understand, lol!Of course FP, I'm your friend. But..... mmmmm. ok, ok...... I now understand.
ha haaa....
kule moshi sijui ni watani zetu? kakangu @vuta_nikuvute, moto2012 naomba mwongozo
hapa sitaki kumshirikisha snowhite maana akiona Nicas Mtei itakuwa noma.....
huko nasikia wazee wanawaamkia watoto wadogo sababu wana pesa, lol!