Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Hivi wewe unataka cheti cha nini ili hali ulishajithibitishia kwa macho? Hebu niamkie huko! We unapima udada na ukaka kwa michango ya watu? Utajapotea maboya mpaka ushangae! Ila hivi mie na wewe kuna kuombana udada?
 
ha haaa... mimi na wewe hakuna kuombana kabisaaaa...... ilishajulikana na ulishakuwa mdogo wangu kitambooooo..... ndo maana upo kwenye group la wadogo zangu.....
mimi nakuambia kila siku urefu si hoja...... namba ndo inayoangaliwa..... imekula kwako, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MwanajamiiOne hujambo? Ok...nitwange shikamoo....
Then niache na Fixed Point...ni mdogo wangu kabisa....huna haja ya vigezo wala masharti...!
Hhahah RR wewe sina shaka nawe kabisa shkang kwako ni halali yako................
inawezekana kabisa MwanajamiiOne akawa mdogo wako, sina tatizo kabisa na hilo.....
kwanza hata kama una miaka 30, nina uhakika bado atakuwa mdogo wako.....
ila mimi??????? yaani utakuwa na safari ndefu sana.......
Hapo sasa Da Mkubwa Fixed Point ntake radhi, yaani kuwa am below 30?? Yaani hapana hapo ntake radhi Da Mkubwa hata Da Mkubwa King'asti, Kaunga, Mamndenyi, Nyamayao watakushangaa
 
Last edited by a moderator:
ME naomba niwe mdogo wako Fixed Point...afu una mbwembwe @fp ime-expire or?!
wewe ulishakuwa mdogo wangu kitambo... hilo halipingiki mbona.... ila shikamoo zako zinatoka kwa manati sana! sijui ndo utoto wa siku hizi?....
hilo jina bana nimerudia jina la ujana wangu, the originale
 
Heheh mtani hapo nampigia debe binti yangu...mie nipo zangu kijijini natumia kiinua mgongo changu...wewe kwangu ni dada mtani, nami kwako ni kaka mtani

teh teh tehhhhhh, sababu umeitwa daddy? lol!
mtani wewe hata sijakuweka maana najua utatania tu......
mkubali nafasi zenu jamani..... siyo crime kuwa dogo
 
ha haaa... mimi na wewe hakuna kuombana kabisaaaa...... ilishajulikana na ulishakuwa mdogo wangu kitambooooo..... ndo maana upo kwenye group la wadogo zangu.....
mimi nakuambia kila siku urefu si hoja...... namba ndo inayoangaliwa..... imekula kwako, lol!
Mwenzio sijacheka tangu asubuhi! Umenichekesha hapo kwenye "urefu sio hoja"! Khaaaaaaa!
 
wewe ulishakuwa mdogo wangu kitambo... hilo halipingiki mbona.... ila shikamoo zako zinatoka kwa manati sana! sijui ndo utoto wa siku hizi?....
hilo jina bana nimerudia jina la ujana wangu, the originale
Basi sawa, Shkamo dada Fixed Point......
 
Last edited by a moderator:
Hope you will my daughter,
Pata kwanza hao akina dada na kaka
mwishoni utakuwa binti yangu ya hiari kama utaipenda
familia yangu ya kima cha chini.
 
Mwenzio sijacheka tangu asubuhi! Umenichekesha hapo kwenye "urefu sio hoja"! Khaaaaaaa!
ha haaa, ndo maana yake......
si unamwona hashim nani yule wa basket ball?
unaingia kwake?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...huyu mkwe Asprin na ma-ODM wenzake Kaizer, KakaKiiza, EMT, Bishanga (mmmhhhh!!!), RR nasubiria vyeti vyao ili nijue niwaweke upande gani.... maana kama hawasomeki vile.....

Wengine tuna disputed birth certificate kama ya Obama.

Halafu hii ID ya Fixed Point kama vile ilikuwepo enzi za zilipendwa ikaingia mitini halafu imeibuka tena?

Sikujua kama Fixed Point ndiye FP. Labda muda umefika sasa niwaombe Mods wanibadilishie EMT iwe full?

Haya ngoja tuone nani yuko tayari kuwa "fixed" na wewe.

[video=youtube_share;JI-o25K6B-E]http://youtu.be/JI-o25K6B-E[/video]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom