Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #281
Mdogo wangu wala usijisumbue niamini tu wala usidai cheti . Si umeona mkubwa haulizwi ushahidiDa Mkubwa Ablessed...........unastahili ila naomba niwe mkaidi leo (Kumbe sometimes utiifu unabore) Da Mkubwa Fixed Point nasubiri certificate................ ntakesha leo
Hahahah My Wii mwaJ (Kwa binamu Mwita Maranya) umenichekesha bila kupenda. Wajua nimemnunia shemejio leo sasa hii post imenifanya nicheke, nikiliwa leo kesi yako hii.
Hahhahaa sasa watakosa vingi naona wakiendelea kuhitaji cheti chako.jamani MwanajamiiOne, KOKUTONA na mwaJ nyie msamiati wa imani umewapita pembeni?
kwa nini hamtaki kuniamini dada mkubwa?
cheti kitawasaidia nini?
mridhike tu kuwa mimi ni mkubwa wenu.......
MwaJ hata lile ombi lako la upacha sitakukubalia kama unakuwa king'ang'anizi, lol!
kwanza namshangaa huyo MwanajamiiOne, kama kakubali wewe kuwa dadake anashindwa nini kukubali mimi?Mdogo wangu wala usijisumbue niamini tu wala usidai cheti . Si umeona mkubwa haulizwi ushahidi
jamani MwanajamiiOne, KOKUTONA na mwaJ nyie msamiati wa imani umewapita pembeni?
kwa nini hamtaki kuniamini dada mkubwa?
cheti kitawasaidia nini?
mridhike tu kuwa mimi ni mkubwa wenu.......
MwaJ hata lile ombi lako la upacha sitakukubalia kama unakuwa king'ang'anizi, lol!
Sasa hapo umekosea kwa mimi kua mdogo wako hapana mimi nimekuzidi mkubwa mwenzangu lol.kwanza namshangaa huyo MwanajamiiOne, kama kakubali wewe kuwa dadake anashindwa nini kukubali mimi?
hajui kuwa wewe ni mdogo kwangu?
Sasa hapo umekosea kwa mimi kua mdogo wako hapana mimi nimekuzidi mkubwa mwenzangu lol.
Ili asikuchanganye na hayo mambo yake ya kulilia shikamoo, bora uwe best friend tu, ukishindwa hapo bora akuite shemeji mkubwa kwa sababu kishamuweka AshaDii kwenye kundi la madada kutokana na michango yake.
Marahaba mdogo wangu mpenzi , nakutakia usiku mwemaEh basi Da Mkubwa Fixed Point na Ablessed............... nimesalimu amri. Shikamooni naenda lala mie, kesho shule
hapa nakubali pacha, lol!Mimi na wewe Fixed Point twaweza itana pacha lkn mimi kua mdogo hapana tena pacha wenyewe ni kwa njia ya operation yaani wote tumetoka wakati mmoja. Vinginevyo wewe ni mdogo wangu unajua fuata imani uliyoanza nayo kama nilivyowashauri wengine waamini tu kua wewe ni dada yao. Si unajua vyeti ni makaratasi tu ndio maana hata sisisitizi kukiona . Mtu aweza kukupa cheti kinachoonyesha ana 50 kumbe ana 35. Nakumbuka mama flani wa kipakistani aliniambia kua passport yake inaonyesha ana 38 lkn umri wake halisi ana 53 na kweli ukimtizama huwezi kukubaliana na umri wa kwenye karatasi.
Hahahahaa yaani we dogo una jeuri kalale tutaongea vizuri kesho.Ngoja nilale naona hii league haitaisha leo. Wewe Fixed Point and dogo mwenzio Ablessed tutaongea vizuri kesho.
You are very intelligent....ndo maana u msiri wangu mwaJ.....sasa @fixed poing wewe u rafiki na shemeji yangu...yaani shemeji halafu best friend.....patamu....
marahaba mdogo wangu.... haya ulale salama.... msalimu sana shemEh basi Da Mkubwa Fixed Point na Ablessed............... nimesalimu amri. Shikamooni naenda lala mie, kesho shule
Afadhari kama umeliona hilo pacha wangu. Najua unakwepa kuniita dada kwa sababu ya shikamoo na hasa kwa ile aleji yako hata hivyo si mbaya tukiwa pacha hakuna shida.hapa nakubali pacha, lol!
naogopaje kesi sasa? after kunitetea kote huku?