Natafuta kaka/dada

Mkuu huyu BC yangu nimemuonyesha anadai ni ya kuchonga ili mradi tu shikamoo zinitoke 🙂🙂
ha haaa, rafiki hiyo salamu inakuumaaaaa.....
itoe kiroho safi tu
 
Reactions: BAK
Bora umesema mwenyewe kuwa kama unaniona vile!
 
Mkuu huyu BC yangu nimemuonyesha anadai ni ya kuchonga ili mradi tu shikamoo zinitoke 🙂🙂
Hahahaha sasa hapo haiwezekani kama mpaka vielelezo umetoa bado haamini . Itabidi tu akubali kwa imani kuwa wewe ni mkubwa kwake hata kama ana aleji ya shikamoo lkn ajue tu wewe ni mkubwa inatosha.
 
Hivi hii case haiishi tu?
 

Mekuelewa rafiki....na hilo nalifahamu ndo maana humu maofisini unakuta wato wamezeeka hadi wanapoteza kumbukumbu lakini unaambiwa bado hajatimiza umri wa kustaafu. Najichekeaga tu.

Kwa Fixed Point na MwanajamiiOne naamini na nimewiwa kuaamkia na nimeshawapa heshima yao..si eti jamani?
 
Last edited by a moderator:
mambo mengine watu wazima kama sisi tunamaliziana kimya kimya mdogo wangu Mwanajamiione, sawa?
trust me, wewe ni mdogo wangu, tena sana tu
Umenifurahisha mno kweli mkubwa haulizwi cheti nimekumbuka sasa inabidi wakubali yaishe wakupe tu heshima yako tena kikwetu lazima ubend kidogo kimjini mjini lkn kule kwenyewe unapiga goti mpaka chini na hukunjui mpaka umalize salaam
 
Lakini ya kwangu hujaitoa mbona unaipotezea hata mwaJamiiOne amenikubali sasa na wewe unasubiri nini jamani
 
Last edited by a moderator:

Thanks dada...haya sasa dada Fixed Point wadaiwa huku
 
Last edited by a moderator:
Khaaa! Haki gani? Kwanza nani kawaambia haki inaombwa? Haki hudaiwa bandugu. Shikamoo kwangu hamuipati ng'oooo!
Ndio maana tumeanza kuidai dear. Fumba macho anza kuamkia tu hakuna taabu.
 
mwaJ hata sula yako inathibitisha kwamba unastahili kuamkia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…