Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Safari Njema Filling Station/Safari Njema Petrol Station, kwa sababu umesema kituo unatarajia kufungua usagara hiyo ni highway ya kwenda mikoa tofauti naona kama ina sound hivi.
 
USAGARA PETROL STATION,au fanya kifupi Your petrol station ...wakazi wa mwa usagara na haice zote zitakuwa na kuja hapo.au MSukuma petrol station,Siri mojaa nikuibie jina sio sababu ya kufanya sheli yako iwe juu, hapo uko chimbo nzuri sana Tena daraja likijengwa utapiga hela Ni kiama sheik.wateke boda boda,haice zote kwa offer nzuri kwamba kila gari likija Kuna commission au part of oil au service Kama pancha . watapata bure kwa mda ujenge jina
 
Usagara...ni jina la watu tayar
 
Chagua majina unayopenda kama 3,

Pigia simu ya mezani hao BRELA mjadiliane moja kwa moja.,vinginevyo karibia kila jina utakuta ni used
 
Lake Usagara Filling Station
 
Majina yako yote yamesimama.

Upo vizuri.
 
Jaza Fuel Station- The name has got meaning from Swahili word 'Jaza Mafuta'

Kisima Fuel Station- Petroleum and products are being extracted from visima, therefore, naming Kisima would give meaning that the station operates 7/24(assurance of service)

UsaOil Fuel Station- Abbreviated from word Usangara,

Beno Fuel Station- Abbreviated from your middle and last name, its pronouncable
 
Sunshine filling station - SFS
Why? Sunshine because you will lead all of them. Simple to pronounce, easy to be connected.
 
HUDUMA ZETU
USHAURI NI BURE

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM
@teamsolutionconsultation


PIA TUNA HUDUMA ZA USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
@Klin&Brite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…