Mmh kipaji kuntu icho..
watafute indigenous Americans utapata treat nzuri siyo wazungu wala mtu yeyote.
we una kipaj gan mkuu?Wenye vipaji vyao
Kinondoni pale bm kuna mtu anaitwa yasin mwala
Kinondoni pale bm kuna mtu anaitwa yasin mwala
Ok, Asante, ntamtafuta.Kinondoni pale bm kuna mtu anaitwa yasin mwala
Kwani vinahitajika vichwa maalum? Nywele si hizi hizi za kibongo!!Kinyozi unaweza kumpata, kichwa na nywele za kunyoa hiyo style unavyo?
Duh!!Kama kichwa kanyoa crocodile style, nadhani chini (sehemu za faragha) kuna kenge style. Ni mbunifu!!
Kwani vinahitajika vichwa maalum? Nywele si hizi hizi za kibongo!!
Hapo Kweli sie wa kipilipili tutanyoa pala tu!! Lakini hapa bongo hakuna linaloshindikana.Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu
Du JF kuna vichwa vinajua ku comment.Kama kichwa kanyoa crocodile style, nadhani chini (sehemu za faragha) kuna kenge style. Ni mbunifu!!
Tupia namba nimpigieYuko Tandale Kwa Mtogole
ATAWEKA DAWA MKUU ZIWE KAMA ZA HUYO ILI KENGE AKUBALIWee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu
Du! JANI LA DI NDIIKA kalipatia kwelikweliKusuka je