edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 982
Huyu ni kinyozi mzuri lakini pia ni mchoraji mzuri ndo iyo kazi unaiyona ivyo
ATAWEKA DAWA MKUU ZIWE KAMA ZA HUYO ILI KENGE AKUBALI
hahahaaaaWakati wa mkwere tungefanya hizo mbwembwe sasa hivi hiyo dawa yenyewe watu wanatamani kuila....hali tete
Nimecheka daahWee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu
. Ua nimelipenda sana.Kusuka je![]()
![]()
. Ua nimelipenda sana.
Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa.Wee jamaaa wewe! Kipilipili kama changu unafikiri mamba au kenge atatokea? Huo mkia ulivyosimama ni unywele Huo mkuu
Kinyozi unaweza kumpata, kichwa na nywele za kunyoa hiyo style unavyo?
Nyoa staili inaitwa mbigiri kwa kipilipili zitafaa.