Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Oct 14, 2015 #21 mleta mada sikuelewagi kabisa!
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 675 Oct 14, 2015 #22 Me ninayo ya Yanga vipi itakufaa?
M mkhitaryan Member Joined Feb 20, 2015 Posts 25 Reaction score 9 Oct 15, 2015 #23 K 4 LIFE said: wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40. kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote. kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka Click to expand... Kuna super market wanauza hizo hirizi za simba,hirizi za tembo,hirizi za fisi nenda utapata mkuu
K 4 LIFE said: wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40. kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote. kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka Click to expand... Kuna super market wanauza hizo hirizi za simba,hirizi za tembo,hirizi za fisi nenda utapata mkuu
V Vincon Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 147 Reaction score 18 Oct 15, 2015 #24 ipo mkuu. zipo za aina mbili. moja inaitwa BIBLIA, yapili ni QURAN. mtumainie MUNGU utafanikiwa, visasi na vinyongo ni hirizi tosha ya kukuzibia riziki na baraka zako. fanya sala kwa sana kwani ndio silaha kubwa.
ipo mkuu. zipo za aina mbili. moja inaitwa BIBLIA, yapili ni QURAN. mtumainie MUNGU utafanikiwa, visasi na vinyongo ni hirizi tosha ya kukuzibia riziki na baraka zako. fanya sala kwa sana kwani ndio silaha kubwa.