Natafuta hirizi ya simba

Natafuta hirizi ya simba

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.

kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.

kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka
 
Hakuna hirizi kama hiyo, mbona tumeshaahau imani hizo kwa sababu ya elimu? sasa wewe unataka kuturudisha nyuma kwenye ujinga huo? kama unataka ipo ya shetani tu.
 
Nenda Mikumi National Park. Ukiwaona Simba anza kuwakimbiza huku ukisema nataka hirizi, nataka hirizi, nataka hirizi. Baada ya muda kidogo mmoja wao atakupa hirizi yake.
 
Bado tuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha watu kama hawa, wenzake tupo kwenye kampeni ya kuitoa ccm madarakani yeye anawaza hirizi ya simba ili akapigane
 
K For life? . ukishaipata hiyo hirizi kifuatacho ni. Kifo, Umaskini, Maradhi .Aibu
 
Usihangaike kutafta ya smba! Wee meza nyongo ya tembo na alovera...watakukoma!!
 
Mfate Mwigulu atakupa hirizi ya fisiem!
 
Wewe jamaa umeniacha hoi kwa kitendo chako cha kutafuta hirizi ya Simba kwaajili tu ya kupigana wakati wenzako wanatafuta Pesa na Elimu.
 
Wapuuzi wachache kama wewe ndiyo mnaosababisha hata hawa watoa huduma kushusha mb maana walikuwa wakitoa nyingi kumbe watumiaji wengine ndiyo kama wewe
 
katika ubora wako. kama unataka hirizi ya simba nenda Yanga pale wanayo hiyo
 
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.

kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.
kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka

Mi ninayo unazo fedha nitafute hata sasahiv
 
wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.

kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.

kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka

Subiri Mshana Jnr aje
 
Mkuu Sibonike nasikia nyongo ya Mamba ni sumu moja kali sana,yaani inasemekana hata ukiimwaga kwenye mto basi watu au viumbe vinavyotumia maji hayo lazima vidhurike.

Ndiyo maana yake mkuu. Huyo kachoka kuishi. Nyongo ya mamba itarahisisha kazi.
 
Back
Top Bottom