Natafuta hirizi ya simba

Natafuta hirizi ya simba

wakuu naombeni msaada wa kupata hirizi ya simba hili niimeze na nipate nguvu kama za simba na uwezo wa kumpambana na wanaume 40.

kwa sababu kuna wajamaa fulani wamenizingua hapa mtaani sasa nataka niwamezee hirizi ya simba hili nikawakamue wote.

kama kuna anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze haraka
Kuna super market wanauza hizo hirizi za simba,hirizi za tembo,hirizi za fisi nenda utapata mkuu
 
ipo mkuu. zipo za aina mbili. moja inaitwa BIBLIA, yapili ni QURAN.
mtumainie MUNGU utafanikiwa, visasi na vinyongo ni hirizi tosha ya kukuzibia riziki na baraka zako. fanya sala kwa sana kwani ndio silaha kubwa.
 
Back
Top Bottom