KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,425
- 57,393
Inaonekana ni kazi nzuri..š¤£Wazee wa KUCHEZA na wake zenu
Inaonekana ni kazi nzuri..š¤£Wazee wa KUCHEZA na wake zenu
Kheee...... UmetishaaaAnitwa Pinju...Sio hinju
Labda nilimsikia vibaya...Kheee...... Umetishaaa
Unataka mtoto? au una tatizo jingine? tuanzie hapo kwanzaWasalam jf!!
Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)
Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital
Shukrani!
Okay,nenda hapo Ilala sokoni oposite na jengo la Mwalimu house kuna polyclinic inaitwa Afya Time,.kuna specialist mmoja (jina silijui) alikiwa anapatikana hapo saa za jioni(Ila siyo kila siku) ukifika hapo utapewa ratiba yake.atakusaidia hasa kama ujauzito wako uko kwenye hatua za mwanzo mwanzoNimeconceive...
Okay,nenda hapo Ilala sokoni oposite na jengo la Mwalimu house kuna polyclinic inaitwa Afya Time,.kuna specialist mmoja (jina silijui) alikiwa anapatikana hapo saa za jioni(Ila siyo kila siku) ukifika hapo utapewa ratiba yake.atakusaidia hasa kama ujauzito wako uko kwenye hatua za mwanzo mwanzo