gambakuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 422
- 414
Wanajamii msaada kwa yeyote mwenye habari au anauza gari aina ya cresta gx100 toyota make, nimeona bora nibadili usafiri.. Nauhusudu sana usafiri huu wa gx100
nawasilisha!
nawasilisha!
ipo gx100mark II USD 2500TU
Ungependa gx110 ningekuachia kwa mil.6.5 hakuna dalali hiyo
gari iko wapi nije niione?