fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,503
- 27,811
kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
aaah mkuu😆😅Oya chafu yangu nigaie hata ya skanka
unayo..?Aise
ina maana siaminiki hivi humuMkuu juzi tu umetoa uzi wa kutaka kununua nyumba ya kishua ya milioni 300.
Leo unataka gari ya milioni 60.
Kuna mtu anatafutwa hapa.
nikienda instagram nafanyaje nipe mwongozoNenda instagram
fundi bishooIngia hapa
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com