Natafuta fundi wa suruali

Natafuta fundi wa suruali

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Natafuta fundi mzuri wa suruali mwenye kuzingatia muda na kutunza ahadi. Awe ubora wa kazi. Asiwe mtu wa kufiwa na kuuguliwa au kuugua kwa kusingizia. Kama unamjua mwenye sifa hizi nipe contact yake hapa au ni-pm. Pesa sio issue, niko radhi kulipa premium kwa quality zilizotajwa hapo juu. Asante waungwana na wiki njema.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nipo dar. Nilisahau kutaja location.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Haya majanga jambo dogo namna hii.
haya kuna fundi yuko hapa congo kati ya bukavu huyu yuko enye guvu sana are you read.
 
Anaitwa nani? Contacts zake?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mutensa mimi mwenyewe natafuta fundi wa suruali aisee. Natafuta mtu makini i hope ukimpata utanipa na mm contacts
 
Hiyo suruali yako imetoboka? Au fupi unataka irefushwe, au kubwa ipunguzwe, au inakubana iongezwe unene?
 
Hiyo suruali yako imetoboka unataka ipigwe kiraka? Au fupi unataka irefushwe, au kubwa ipunguzwe, au inakubana iongezwe unene?
 
Agggggrrrrhhhh! we really have different classes of people in here!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bahati mbaya nipo mbali na dar lakini mie ni mtaalamu Wa mavazi usipime
 
Natafuta fundi mzuri wa suruali mwenye kuzingatia muda na kutunza ahadi. Awe ubora wa kazi. Asiwe mtu wa kufiwa na kuuguliwa au kuugua kwa kusingizia. Kama unamjua mwenye sifa hizi nipe contact yake hapa au ni-pm. Pesa sio issue, niko radhi kulipa premium kwa quality zilizotajwa hapo juu. Asante waungwana na wiki njema.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hata ukitaka suruali yenye kuunganishwa na chupi pia naweza kukoshonea
 
Miaka hiyo Mafundi Wazuri wa Suruali walipatikana Mwenge kwenye Vibaraza pale Stendi. Sijui kama bado wapo.
 
wapo bado,,ila wa sasa vijana,,kazi yao pale kutongoza viwanafunzi na kushika maziwa wake za watu kwenye upimaji,,
 
Hiyo suruali yako imetoboka unataka ipigwe kiraka? Au fupi unataka irefushwe, au kubwa ipunguzwe, au inakubana iongezwe unene?

Duh
Sasa sijui anaanza kujibu swali lipi.
Au sijui aje na sababu za kumtafuta huyo fundi sarawili aka suruwale
 
Kuna mafundi wa kushona nguo wa kutoka Peramiho mitaa ya St.Peters - Oysterbay...!
 
mkuu hao mafundi wa oysterbay nawajua wamebobea kwenye suti tu, mtoa mada hajasema kama anataka kushonewa suti.
 
Back
Top Bottom