mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Mambo ya kukariri vyeti ni mambo ya kizamani nchi za wenzetu walishaachana nayo.Hajasema Kama "Vyeti" Ni Lazima. Sisi wengine tunaangalia Skills and Attitude.
Mambo ya kukariri vyeti ni mambo ya kizamani nchi za wenzetu walishaachana nayo.Hajasema Kama "Vyeti" Ni Lazima. Sisi wengine tunaangalia Skills and Attitude.
No ubishani wetu haukuwa kwenye vyeti mkuu.Ushakubali sasa what we mean
Hivi wapi nili-ainisha fani 5 ?
Nsaidie kuzitaja
Masonry nimeitaja wapi?..Alum na capentry mara nyingi ni relatable
Sana sana anaweza kuwa tapeli akudanganye anajua hizo field zote kumbe magumashi, asomee wapi fani zote hizo ?, labda awe mjanja mjanja kitu ambacho ni hatari sana hasa kwenda kufanya kazi at Height, lakini pia sijui jamaa atamlipa bei gani ?, ustaarabu angetangaza mahitaji yake wakaja watu wa fani hizo zote akawapanga kazi, naamini wangefanya kwa ufanisi as a Team.Halafu ukishampata huyo mtu utamlipa milioni ngapi mkuu. Hiyo fani inaitwa MEP Engineering kwa bongo wapo wachache sana hiyo staili iko mambele huko kuanzia Dubai na kuendelea.
Na hata hao wataalam wa hiyo fani huwa ni kuanzia rank ya Engineer/Supervisor na sio fundi. Fundi wa hivyo wa kujua fani 5 peke yake hakuna
Umekurupuka fuatilia thread vizuri utajifunza kituSana sana anaweza kuwa tapeli akudanganye anajua hizo field zote kumbe magumashi, asomee wapi fani zote hizo ?, labda awe mjanja mjanja kitu ambacho ni hatari sana hasa kwenda kufanya kazi at Height, lakini pia sijui jamaa atamlipa bei gani ?, ustaarabu angetangaza mahitaji yake wakaja watu wa fani hizo zote akawapanga kazi, naamini wangefanya kwa ufanisi as a Team.
Nikisema uzoefu majengo marefu i mean awe ana uelewa wa high rise building structure in relation na ufundi wake.
Nipo pembeni yako hapa, najichekea tu ...Nawaona watoto wa Banyani mnavyooneshana umwamba(Bsc.PFM)
Mkuu, mnamdhulumu sana huyo kijanaHata Mimi Kama Maintenance Supervisor nakubaliana na mtoa mada. Nina Kijana wangu Fundi Kipaji Haswa. Hakusomea Ufundi but through Apprenticeship Amejijenga Sana Kwenye Fani Zote Tajwa. Hapa hatuna Hela tunamlipa Laki 7 tuu.
Mkuu, kwahiyo kwako naona umeamua kabisa naku analyse risk kabisa na ukabaini kwamba work at hight ndio shaka kubwa ulionayo....Sana sana anaweza kuwa tapeli akudanganye anajua hizo field zote kumbe magumashi, asomee wapi fani zote hizo ?, labda awe mjanja mjanja kitu ambacho ni hatari sana hasa kwenda kufanya kazi at Height, lakini pia sijui jamaa atamlipa bei gani ?, ustaarabu angetangaza mahitaji yake wakaja watu wa fani hizo zote akawapanga kazi, naamini wangefanya kwa ufanisi as a Team.
Mwenyewe nipo sema kipindi iki nimejiajiri upande wa magariExactly. Watu hawaelewi tu.
Inawezekana ukachukulia simple, lakini nakwambia kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya kazi kwenye bench na working at height.Mkuu, kwahiyo kwako naona umeamua kabisa naku analyse risk kabisa na ukabaini kwamba work at hight ndio shaka kubwa ulionayo....
Shida Kampuni Ndo Imemlea Sasa na Rate ya kupanda Salary inategemea Maghufuli Akipandisha. Na kupata kazi sehemu nyingine Ni Issue hasa kwa Wapendwa "Vyeti". Tumemuwezesha Hardware na Ofisi ya Ufundi baada ya muda wa kazi.Mkuu, mnamdhulumu sana huyo kijana