Natafuta fundi mwenye ujuzi (Maintenance Officer)

No ubishani wetu haukuwa kwenye vyeti mkuu.
Mimi nina team kubwa ya matechnicians wengi wa fani mbalimbali na wengine wanafanya fani 2 mpaka 3,ila nilichokuwa nabisha ni fundi mmoja kufanya fani 5
Hivi wapi nili-ainisha fani 5 ?
 
Halafu ukishampata huyo mtu utamlipa milioni ngapi mkuu. Hiyo fani inaitwa MEP Engineering kwa bongo wapo wachache sana hiyo staili iko mambele huko kuanzia Dubai na kuendelea.

Na hata hao wataalam wa hiyo fani huwa ni kuanzia rank ya Engineer/Supervisor na sio fundi. Fundi wa hivyo wa kujua fani 5 peke yake hakuna
Sana sana anaweza kuwa tapeli akudanganye anajua hizo field zote kumbe magumashi, asomee wapi fani zote hizo ?, labda awe mjanja mjanja kitu ambacho ni hatari sana hasa kwenda kufanya kazi at Height, lakini pia sijui jamaa atamlipa bei gani ?, ustaarabu angetangaza mahitaji yake wakaja watu wa fani hizo zote akawapanga kazi, naamini wangefanya kwa ufanisi as a Team.
 
Umekurupuka fuatilia thread vizuri utajifunza kitu
 
Hata Mimi Kama Maintenance Supervisor nakubaliana na mtoa mada. Nina Kijana wangu Fundi Kipaji Haswa. Hakusomea Ufundi but through Apprenticeship Amejijenga Sana Kwenye Fani Zote Tajwa. Hapa hatuna Hela tunamlipa Laki 7 tuu.
Mkuu, mnamdhulumu sana huyo kijana
 
Sana sana anaweza kuwa tapeli akudanganye anajua hizo field zote kumbe magumashi, asomee wapi fani zote hizo ?, labda awe mjanja mjanja kitu ambacho ni hatari sana hasa kwenda kufanya kazi at Height, lakini pia sijui jamaa atamlipa bei gani ?, ustaarabu angetangaza mahitaji yake wakaja watu wa fani hizo zote akawapanga kazi, naamini wangefanya kwa ufanisi as a Team.
Mkuu, kwahiyo kwako naona umeamua kabisa naku analyse risk kabisa na ukabaini kwamba work at hight ndio shaka kubwa ulionayo....
 
Naona vijana mnajipambanua kwa multiple skills in maintenance and supervising...
 
Ina
Mkuu, kwahiyo kwako naona umeamua kabisa naku analyse risk kabisa na ukabaini kwamba work at hight ndio shaka kubwa ulionayo....
Inawezekana ukachukulia simple, lakini nakwambia kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya kazi kwenye bench na working at height.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom