natafuta distance learning ya gharama nafuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta distance learning ya gharama nafuu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Homo Habilis, Oct 5, 2010.

 1. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naombeni msaada wadau mnaofahamu vyuo vinavyotoa distance learning vya ukweli vilivyo na gharama nafuu mnisaidie nipate kufanya kozi yz Gsm,wimax na masuala mazima ya telecomunication. nawaombeni sana wadau mnipe muongozo ulio mwema nifanikishe dhamira yangu.
   
Loading...