Natafuta crowdfunding platforms kuwezeshwa idea yangu.

Digital Ticha

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
183
Reaction score
266
Nataka kufanya mradi kusaidia young single mothers, ambao waliacha shule au awakeenda shule kabisa.

Mradi utahusu kuwajengea uwezo (ujuzi) na kuwapa kiazio cha mtaji.

Kwenye eneo la ushonaji, mapambo, ususi, urembo, biashara ndogo ndogo na skills ambazo zipo on demand kwa mazingira ya uswahilini.

So naomba anaejua platforms nazoweza kupata msaada wa fund haswa hizi crowdfunding sites zinazotoa kwa independent applicants kama mimi.

Tupeane information wadau.

Nawasilisha.

.
 
Kazi za NGo hizo, MDH huwaga inafanya hizi sana tu. Hiyo ni women empowerment ambayo imeamua kupush kwa adolescents, hapo utaulizwq kwa nn age hiyo? Pitia pia na quantutative data za HIV mwaka juzi, jana na mwaka huu
 
Sijajua unaposema Independent Applicant unamaanisha nini!
Kifupi "crowdfunding" ni miongoni mwa vyanzo vikubwa kwa sasa vya fedha kwa "nonprofit organizations" hata kwa "profitmaking organizations" pia. Kwa sababu takwimu zinaonyesha kwamba asilimia 75 mpaka 80 ya "donations" kwenda kwa "nonprofit organizations" ulimwenguni zinatoka kwa "individuals" ambapo "crowdfunding" inatoa nafasi kwa hawa "individuals" kuchangia miradi (causes) mbalimbali kupitia njia ya mtandao.

Aina ya "Crowdfunding Platforms" unazoweza kutumia ili ku-raise fund kwa ajili ya hilo wazo lako la Mradi
Zipo aina nyingi za platforms, ambazo zinatofautiana kwenye reliability, simplicity, nature of the project to be fundraised n.k. miongoni mwazo ni; Global Giving. Hii kwa mtazamo na uzoefu wangu, ni platform nzuri kwa mradi unaotekelezwa chini ya shirika, na ni rafiki kwa mazingira ya Tanzania. Hii ni kutokana na sababu zifuatazo'
  • Hakuna gharama yoyote ya kuomba kuwa member wa Global Giving
  • Pindi unapokuwa member, una uwezo wa ku-post Miradi mingi kadiri uwezavyo kwa ajili ya fundraising.
  • Hakuna kikomo cha bajeti wala cha muda kwa mradi utakao-post kwa ajili ya fundraising. Hata kama lengo lako ni ku-raise 100 billions, its okey to them.
  • Wanafanya "disbursement" ya "fund" inayokuwa "raised" kila tarehe 25 ya mwezi hata kama ume-raise US$ 25. Maana yake ni kwamba kama lengo lako ni ku-raise 100 Mil, hawatasubiri mpaka ifike 100 Mil ndio wafanye "disbursement" la hasha, kila tarehe 25 utapokea "fund" iliyokuwa "raise" mpaka lengo la kukusanya 100 Mil litimie.
  • Hawahitaji gate way account ili kufanya "transaction" kwa Taasisi yako. Ukishawapatia bank details zako, wanafanya "transactions" moja moja.
Platform nyingine ni Indiegogo, hii ni "trusted" pia hata kama "campaign" inatekelezwa na "Individual Person" they accept. Changamoto yake ni kwamba; fundraising campaign yako lazima iwe na muda maalum. Pia when it comes to funding disbursement, utahitaji kuwa na "gateway account"
Nyingine ni Fundly, hii inapokea "campaigns" kwa ajili ya "organizations" na "individuals" na ni trusted, changamoto yake ni kwamba ili uweze ku-register campaign yako, ni lazima ushirikiane na mtu kutoka either UK, Canada, US, France, or Austria ambapo yeye ndiye atakaefanya registration process. Zinginezo ni Wefunder, M-Changa (hii ni ya Kenya) n.k

AHSANTE.
Wewe ni Shirika au "individual" na unahitaji mafunzo ya "Crowdfunding" au unahitaji kufanyiwa "registration" na "project designing and posting" kwenye reliable crowdfunding platforms?. Karibu tukuhudumie.

OMAR MSONGA
Consultant
Project Management, Strategy, Fundraising & Training
Call +255 719 518 367 or
Email: msongatheconsultant@gmail.com
Dar es Salaam
TANZANIA
 
Mimi ni individual mkuu.
 
Kazi za NGo hizo, MDH huwaga inafanya hizi sana tu. Hiyo ni women empowerment ambayo imeamua kupush kwa adolescents, hapo utaulizwq kwa nn age hiyo? Pitia pia na quantutative data za HIV mwaka juzi, jana na mwaka huu
Mimi nataka kuomba kama individual.
 
Nataka kufanya mradi kusaidia young single mothers, ambao waliacha shule au awakeenda shule kabisa.

Mradi utahusu kuwajengea uwezo (ujuzi) na kuwapa kiazio cha mtaji.

Kwenye eneo la ushonaji, mapambo, ususi, urembo, biashara ndogo ndogo na skills ambazo zipo on demand kwa mazingira ya uswahilini.

So naomba anaejua platforms nazoweza kupata msaada wa fund haswa hizi crowdfunding sites zinazotoa kwa independent applicants kama mimi.

Tupeane information wadau.

Nawasilisha.

.
Wazo zuri, inautofauti gani na ile ambayo madame Rita anayo?

Na unataka uifanye kinamna gani? Kwamba itakua kidigital zaidi au both digital and physical au physical.

Na hadi sasa umefikia wapi wewe kama wewe?
 
Si utawakamua sana.
IMG_1417.jpeg
 
GlobalGiving
- Ni moja kati ya platforms zinazokubali miradi ya kijamii, ikiwasaidia watu binafsi na mashirika.
- Wana accelerator program ambayo inaweza kukusaidia kufikisha malengo yako ya kukusanya fedha.

2. GoFundMe
- Ni rahisi kutumia na inaruhusu watu binafsi kufanya kampeni za kukusanya fedha.
- Unaweza kuelezea hadithi ya mradi wako na kushiriki kwa watu wengi.

3. Kiva
- Hutoa mikikidadi (loans) kwa wajasiriamali wa kijamii, hasa kwa wanawake na vikundi vilivyo marginalized.
- Unaweza kuomba mkopo na kukilipa baadaye bila riba au kwa riba ndogo.

4. Indiegogo
- Inafaa kwa miradi ya kijamii na biashara ndogo.
- Unaweza kufanya flexible funding(hata usifikisha lengo, unaweza kubaki na ulichokusanya).

5. M-Changa (East Africa)
- Ni platform maalum kwa Wafrika Mashariki, inayoruhusu kukusanya fedha kwa haraka.
- Wanaweza kukusaidia kufungua kampeni yako na kushiriki kwa jamii ya mtandaoni.

6. CrowdRise by GoFundMe
- Inalenga miradi ya kijamii na humanitarian.
- Wana msaada wa kutengeneza campaign yenye nguvu.

7. Patreon
- Kama mradi wako unaweza kutoa mafunzo ya digital (kwa mfano kupitia video), unaweza kupata watu wanaochangia kila mwezi.

Vidokezo ya Kuomba
- Eleza wazi lengo lako
– Onyesha ni watu wangapi utasaidia na jinsi fedha itatumika.
- Tumia picha na video
– Hii inasaidia kuonyesha hali halisi ya young single mothers na mahitaji yao.
  • Shiriki kwenye social media– Twitter, Facebook, Instagram, na WhatsAp.
  • Anzisha kampeni ndogo kwanza – Kama ukishinda kukusanya kiasi kidogo, itasaidia kuvutia wafadhili wakubwa zaidi.
 
Shukrani, nimejaribu gofundme ila sio rafiki kwa Tanzania. Hauwezi toa pesa hata usajili ni ngumu ngoja nijaribu hizo nyingine.
 
Back
Top Bottom