Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,588
- 3,639
Mkuu huko serious. ..!!Kwa mwenye uelewa wa chuo ambacho naweza kusomea maswala ya usimamizi wa mochwari ( mortuary attendant )...anisaidie mahali kilipo na taratibu za kufata Ili niweze kwenda kujiunga...
At least naweza nikapata furaha ya maisha yangu....