Natafuta chumba SUA mazimbu

Natafuta chumba SUA mazimbu

Soja motwa

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
10
Reaction score
4
Mimi mwaka wa kwanza SUA natafuta chumba mazimbu kizuri kabla ya kuripoti yeyote Wakunisaidi a 0756679941
 
Nimeambiwa hostel chache na hata nikipata bad mwaka wa pili itabidi tu nipange
Mwaka wa kwanza huwa ni priority kupewa chumba hapo hostel. Mwaka wa kwanza huwa vizuri kuanzia hostel ili ujipime vizuri kwenye msuli. Nimekaa pale miaka mitatu ingawa nilianzia main campus. Kilichoniponza kule main ni kukaa nje ya campus huo mwaka wa kwanza! Kwa hiyo mdogo wangu sikushauri huo ujinga unless utuambie unataka kuoa/kuolewa mapema lakini utajutia uamuzi huo!
 
Mimi mwaka wa kwanza SUA natafuta chumba mazimbu kizuri kabla ya kuripoti yeyote Wakunisaidi a 0756679941
Kama uko mwaka wa kwanza acha mbwembwe za kupanga, kaa hostel!! Nje nenda mwaka wa pili tena baada ya kukosa chumba!!
 
We njoo tu upange chumba wasikuchanganye hao hapo kwamba kupanga chumba first year utaharibikiwa
Me niko maeneo ya dark city hapo nimepanga toka naingia mwaka wa kwanza mpk now naenda final year wala hakuna cha ajabu...
kwanza hostel ukichelewa siku tu ya kufungua hupati.. we jipange uje upange chumba kijana achana na hostel za mazimbu.
 
we njoo tu upange chumba wasikuchanganye hao hapo kwamba kupanga chumba first year utaharibikiwa
Me niko maeneo ya dark city hapo nimepanga toka naingia mwaka wa kwanza mpk now naenda final year wala hakuna cha ajabu...
kwanza hostel ukichelewa siku tu ya kufungua hupati.. we jipange uje upange chumba kijana achana na hostel za mazimbu.
Wacha kumtisha mwenzio, akichelewa kitu gani? Hostel Mazimbu zipo za kumwaga mpaka second year huwa wanapata seuse mwaka wa kwanza! Dogo asikubali huo ujinga!
 
Wacha kumtisha mwenzio, akichelewa kitu gani? Hostel Mazimbu zipo za kumwaga mpaka second year huwa wanapata seuse mwaka wa kwanza! Dogo asikubali huo ujinga!
We umesoma lini hapo mazimbu campus? Kama mwaka uliopita hadi kihonda hostel ilijaa na mwaka wa kwanza wakakosa, vipi mwaka huu? Huyo mdau anaongea kwa experience.
 
Kijana nenda kwanza chuoni ukifika ujionee hali halisi, hapa kuna hatari ya kupigwa hela ndefu ukianza kupokea maombi ya kupewa michongo! Kuna majitu huwa yanajifanya madalali, chunga sana!
 
Back
Top Bottom