musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 904
Wakuu habari
Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu
Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi
Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani kwetu huko Katavi....mambo ya taarabu sijui shughuli(kwetu hii ina maanisha kazi) sijayazoea
Nikimaanisha hata kama chumba na sebule vitakuwa maeneo ya Charambe lakini walau kuna utulivu nitafurahi
Mnao ijua Mbagala naomba mnisaidie