natafuta blackberry 8520 bei yangu ni 220000 black

natafuta blackberry 8520 bei yangu ni 220000 black

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
322
Iwe almost mpaya kama imetumika tubargain kidogo hapo sema iwe nzuri
Iwe na charge
Usb cable
Cd yake
 
Kama unataka vyote hivyo viwepo si ukanunue mpya dukani, maana hela yako nddogo halafu wataka na kila kitu duuuuuu
 
Mi nnayo mpya kabisa ntakupa kwa lak3 ina kila kitu..PM me
 
Mi nnayo mpya kabisa ntakupa kwa lak3 ina kila kitu..PM me

Mmh anavyoonekana hana uwezo huo, maana ana jiwe na mia mbili lakini pia anataka mtu akiwa nayo wabagein, unadhani hiyo yako si atataka akupe laki mbili kamili
 
nicheki 0713388226 nikuelekeze dukani uje uchukue
 
Back
Top Bottom