Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,156
27,152
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.

Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!

Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.

Asante!
 
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast,hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.

Baada ya kuzingua/kufa,nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwangwa,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!

Ebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.
Asante!
Nakuelewa zile redio za zamani zenye Cd Player na Casset player hazina mpinzani hadi leo.

Mchina bado akajifunze

Hitachi, Sonny, National Panasonic, Riptunes
 
Back
Top Bottom