VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....

Si mwende India na Urabuni mkawatafute? for your info you're looking in wrong place and those races don't mix, guys maybe but ladies very few unless you have MKWANJA wa maana. Otherwise your cry is in vein!
Muulize Nilham Rasheed lol
Hawa wa bongo bwana si Original
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....
Yote kheri mkuu,as long as you know what you are doing.ila kwa mtazamo wangu,achana na hiyo idea ya kujitoa for the sake of kuvunja matabaka.we kama umemind ngozi nyeupe sawa ila sio kwa ajili ya taifa.
au kwa mtogolehata mimi nahamu ya Demu muhindi,msomali au muarabu pure siyo chotara wa kwa aziz ali mtongani!
hata pale Tinde, Itwangi au Maskati waarabu atawapata tu!Mkuu njoo kwetu Sangilwa wilaya ya Kahama utawakuta tele wanalima mihogo na viazi...
Si mwende India na Urabuni mkawatafute? for your info you're looking in wrong place and those races don't mix, guys maybe but ladies very few unless you have MKWANJA wa maana. Otherwise your cry is in vein!
Muulize Nilham Rasheed lol
Kila la kheri kaka
aniulize nini sasa wanitafuta nafkiri wewe hunijui sawsaw.....be carefully....
Eti dada yangu una ushauri wa kunipa...... je kuna uwezekano au ndoto zangu ni za alinacha????? Je nitumie mbinu gani?????
hata mimi nahamu ya Demu muhindi,msomali au muarabu pure siyo chotara wa kwa aziz ali mtongani!