Natafuta Binti, Mzanzibar, Mwindi au Mwarabu.... kukuza muungano, umoja na undugu

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
hata mimi nahamu ya Demu muhindi,msomali au muarabu pure siyo chotara wa kwa aziz ali mtongani!
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....

Utakuwa nae for the sake of the country tu! Kweli kaka una machungu na nchi yako.

All the best :)
 
Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
2,000
fathia.jpg
"When Kwame Nkrumah married his Egyptian bride, Miss Fathia Halen Ritzk, in a surprise wedding," notes the New African of February 2006, "British and American authorities were sent into a panic as they feverishly sought to determine what the political implications were". On that issue, the New African columnist, Carina Ray, unearth a lot of political exchanges from the archives to prove that it was indeed The marriage that sent the West into panic. For instance, she observe that the then British High Commissioner in Accra, Sir Ian Maclennan, informed the Commonwealth Relations Officer (CRO) "that there were 'no doubt' that Prime Minister Gamal Abdul Nasser of Egypt hoped to 'build something on the foundation of the marriage.'"

Source: UDADISI: Rethinking in Action: On Becoming Samia Nkrumah
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
Si mwende India na Urabuni mkawatafute? for your info you're looking in wrong place and those races don't mix, guys maybe but ladies very few unless you have MKWANJA wa maana. Otherwise your cry is in vein!

Muulize Nilham Rasheed :) lol
 
Madame X umejuaje kaa hao watu hawamo humu?

Wanaweza wasijitokeze kwa sababu ya 'makubaliano kwa ajili ya nchi' ambalo hata mwanamke mwengine asiekuwa wa makabila hayo angekataa (most of the time)

Bora tumshauri VOR atoe vigezo vyake zaidi ya uzalendo wake, inaweza ikawa rahisi zaidi kupata response.

Si dhani kama watu hao wana angali pesa tu.
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
Hawa wa bongo bwana si Original

Hapo pia kataja Mzanzibar, si kamaanisha Mzanzibar yoyote tu yule. Si dhani pia kaa kamaanisha Waarabu kutoka Arabuni au Wahindi kutoka India. Huyu mkuu yeye uzalendo umemsukuma kutetea muungano na mchanganyiko wa watu, kwa hiyo anaowataka ni wa hapa hapa Bongo :)
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....Mkuu njoo kwetu Sangilwa wilaya ya Kahama utawakuta tele wanalima mihogo na viazi unajichagulia mmoja na kama dini yako inaruhusu hata wanne kwa mpigo unawapata unajichukulia unaenda kudumisha muungano na undugu wetu.
 
semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
Yote kheri mkuu,as long as you know what you are doing.ila kwa mtazamo wangu,achana na hiyo idea ya kujitoa for the sake of kuvunja matabaka.we kama umemind ngozi nyeupe sawa ila sio kwa ajili ya taifa.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Yote kheri mkuu,as long as you know what you are doing.ila kwa mtazamo wangu,achana na hiyo idea ya kujitoa for the sake of kuvunja matabaka.we kama umemind ngozi nyeupe sawa ila sio kwa ajili ya taifa.

Mi naamini kuwa kuna wazuri na wabaya wapo katika aina zote za watu (kwenye partner, natafuta maelewano, trust na ukweli) ninanijua hapa tatizo kubwa litakuwa kwenye CULTURAL DIFFERENCES......... HUU NDIO UTAKUWA MTIHANI MKUBWA...., but am willing to overlook this differences na kusacrifice for the better.....
 
NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,622
0
aniulize nini sasa wanitafuta nafkiri wewe hunijui sawsaw.....be carefully....
Si mwende India na Urabuni mkawatafute? for your info you're looking in wrong place and those races don't mix, guys maybe but ladies very few unless you have MKWANJA wa maana. Otherwise your cry is in vein!

Muulize Nilham Rasheed :) lol
 
NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,622
0
4really u can why not????? all we are a human being and we share everything,,,beside we come from one mother (hawa) and one father (adam) soo why not you cant????? only u have do is to trust allah 4 how u can,,,all da best my boy,
Eti dada yangu una ushauri wa kunipa...... je kuna uwezekano au ndoto zangu ni za alinacha????? Je nitumie mbinu gani?????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom