bajeti yako ngapi mkuu?Wakuu mwenye anauza bajaji ani PM inbox, isiwe na kipengele, natoa box mbili tu kwa dalali.....
Mimi napatikana mbezi makabe.
Bei ni mazungumzo
Hit my PM Kwa muuzaji aliye serious tu.
Sawa mkuuNatoa ofa ya bajeti kwa mazungumzo baada ya kuiona bajaji.