MikwanjaMirefu
Member
- Dec 30, 2015
- 73
- 46
Hongera mkuuMkuu tuwasiliane.... kwa 0787519910 ama moddyguyz@yahoo.com
Miye nimepambana kiasi katika ishu hizi za kilimo. Kwa sasa namiliki heka kama 20 hapo Kimanzichana ambapo nimepanda mipapai kama heka mbili, mahindi kama heka mbili, nina banda la kuku kama 40 wa kienyeji.
Hivi karibuni nimepata trekta Ford 7500.. Changamoto kubwa sina jembe wala trela!!
Karibu kaka!!