Ingia kwa instagram, andika mashamba lindi....zitakuja taarifa nyiingi, tafuta tafuta humo mpaka utapata pa kuanzia..Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
Sehemu Gani unataka , Kilwa , Ruangwa, au wapi ?Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie