Umesomea wap? Hujui hata kuandika! Nina galaxy tab s3.. lete elfu sabini na tano tu!
Nusu mwaka iliangukia kwenye maji!niambie ina miaka mingapi,je inatatizo lolote
Nusu mwaka iliangukia kwenye maji!
Ungeongeza hela kidogo ningekuuzia Galaxy Pocket yangu. Tatizo lake inakaa na charge kwa masaa matatu tu nikiwa natumia 3G wakati mimi nataka ya kukaa angalau siku nzima nikiwa kwenye 3G. Ni mpya kabisa, tokea nimeinunua sijaitumia tena nimeitupa ndani.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umejuaje kama inakaa na charge masaa 3 ?
Nokia Asha 305, ina miezi miwili tu.
Nimeshindwa ku-configure internet.
Tshs 130,000/=
Ukinipa 150,000 nakuuzia HTC WILDFIRE, ina miezi 2 na haina tatizo lolote. Nauza kwa sababu nahitaji hela kuliko simu kwa leo.
Kaka,Kaka nokia original kama hiyo haiwezi kusumbua access ya internet sema tu ulichokifanya ni kwamba ulito chip then ukaweka lain nyingine sasa nn cha kufanya ni kwamba nenda kwenye menu bonyeza setting halafu bonyeza maneno yaliyo andikwa confirgaration baada ya hapo pale walipo andika prefeared access point chagua Web badala ya Wap kwamfano Tigo Web badala ya Tigo Wap na endelea kutumia huduma ya internet nautakuwa ukifanya hivyo kila ubadilishapo laini asante
je umefanya kama jinsi nilivyo kuelekeza coz mm ndiyo huwa nafanya hivyo na innakubali pia unaweza ukasema umempelekea mtu wa kukusaidia lakin naye akawa hajui ila ukimuonesha hiyo sms nadhani anaweza akafanikiwaKaka,
mi sio mtaalam wa haya makitu, so nkawapelekea tigo wa pale mliman city, nao wakashindwa pia