Natafuka simu ku nunuwa !

Natafuka simu ku nunuwa !

je umefanya kama jinsi nilivyo kuelekeza coz mm ndiyo huwa nafanya hivyo na innakubali pia unaweza ukasema umempelekea mtu wa kukusaidia lakin naye akawa hajui ila ukimuonesha hiyo sms nadhani anaweza akafanikiwa
Nimecheki mkuu, ipo kwenye tigoweb. Kiduka chenyewe nlichonunulia ni cha uchwara tu pale Mwenge, wameshindwa kunisaidia masuala ya warrant!!
 
Now it,s beyond of my scope

Imekubali kaka, nimegusa gusa palepale uliponiambia, imekubali now.

But tatizo sasa inakubali baadhi ya web kama JF, facebook NO,

But ahsante sana hata hivyo
 
Back
Top Bottom