Natafuka simu ku nunuwa !

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
Natafuta simu nzuri,
budget yangu 100,000/-tshs.
Preferred phones-
samsung pocket
sony ericsson mini xperia

ikuwe smart phone.

na kama ina problems, labda nitanunuwa lakini muzaji akuwe wazi.
 
Umesomea wap? Hujui hata kuandika! Nina galaxy tab s3.. lete elfu sabini na tano tu!
 
Ungeongeza hela kidogo ningekuuzia Galaxy Pocket yangu. Tatizo lake inakaa na charge kwa masaa matatu tu nikiwa natumia 3G wakati mimi nataka ya kukaa angalau siku nzima nikiwa kwenye 3G. Ni mpya kabisa, tokea nimeinunua sijaitumia tena nimeitupa ndani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Au kama vipi ongeza hela kidogo ununue BlackBerry kwa mtu. Nahisi kama vile zinakaa na charge angalau. Hii yangu inakaa na 3G siku nzima na ninaChat siku nzima online, SMS siku nzima na kupiga na kupigiwa simu. Sasa sijui ni BlackBerry zote zinakaa na charge hivi au hii niliiotea!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ungeongeza hela kidogo ningekuuzia Galaxy Pocket yangu. Tatizo lake inakaa na charge kwa masaa matatu tu nikiwa natumia 3G wakati mimi nataka ya kukaa angalau siku nzima nikiwa kwenye 3G. Ni mpya kabisa, tokea nimeinunua sijaitumia tena nimeitupa ndani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

umejuaje kama inakaa na charge masaa 3 ?
 
umejuaje kama inakaa na charge masaa 3 ?

Maswali gani tena haya mkuu? Si nimeshaeleza kila kitu? Baada ya kuinunua niliiCharge kwa hayo masaa sita yao wanayodai baada ya hapo nikaanza kuitumia kwenye mode ya 3G, unfortunately baada ya masaa matatu charge ikaisha. Tokea siku hiyo sijaitumia tena nimeiweka ndani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nauza bb yangu 9300 hii ninayotumia. Kama una 150k fresh ila tatizo cover limechoka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nokia Asha 305, ina miezi miwili tu.
Nimeshindwa ku-configure internet.

Tshs 130,000/=
 
Ukinipa 150,000 nakuuzia HTC WILDFIRE, ina miezi 2 na haina tatizo lolote. Nauza kwa sababu nahitaji hela kuliko simu kwa leo.
 
Nokia Asha 305, ina miezi miwili tu.
Nimeshindwa ku-configure internet.

Tshs 130,000/=

Kaka nokia original kama hiyo haiwezi kusumbua access ya internet sema tu ulichokifanya ni kwamba ulito chip then ukaweka lain nyingine sasa nn cha kufanya ni kwamba nenda kwenye menu bonyeza setting halafu bonyeza maneno yaliyo andikwa confirgaration baada ya hapo pale walipo andika prefeared access point chagua Web badala ya Wap kwamfano Tigo Web badala ya Tigo Wap na endelea kutumia huduma ya internet nautakuwa ukifanya hivyo kila ubadilishapo laini asante
 
Kaka,
mi sio mtaalam wa haya makitu, so nkawapelekea tigo wa pale mliman city, nao wakashindwa pia
 
Kaka,
mi sio mtaalam wa haya makitu, so nkawapelekea tigo wa pale mliman city, nao wakashindwa pia
je umefanya kama jinsi nilivyo kuelekeza coz mm ndiyo huwa nafanya hivyo na innakubali pia unaweza ukasema umempelekea mtu wa kukusaidia lakin naye akawa hajui ila ukimuonesha hiyo sms nadhani anaweza akafanikiwa
 
Back
Top Bottom