E medics
Member
- Sep 18, 2019
- 79
- 93
Habari na karibu,
Teknolojia ya simu imekua sana hasa kwa simu za mkononi (smartphone) au simu janja, lakini vipi umeshawahi kujiuliza ivi
ni simu gani nzuri zaidi duniani kote? najua watu wengi watakua wamefikiria labda iPhones,au Samsung
Sasa leo zifahamu simu 5 bora zaidi duniani kote Simu hizi ni kutokana na Uwezo wake (nikijumuisha RAM, PROCESSOR,CAMERA, STORAGE, BATTERY,NA MUONEKANO WA SIMU)
nimeshapost sasa hivi video huko YouTube inayoelezew vizuri pamoja na mifano halisi kwa mfano kwa upande wa kamer nmeonyesha na picha zilizopigwa na simu hiyo kama utapenda kuitazama tumia link hii >>> uweze kuitazama moja kwa moja
[youtube]IXNYQiegihE] asi kama utapenda kuitazama utaitazama itakua bora zaidi, ok tukianza na list yetu
kwa kuanzia namba 5 mpaka
5. Huawei P30 pro
hii ni simu iliyobase sana kwenye 📷 camera ina camer nzuri sana na zaidi wameboresha kwenye upande wa ku zoom
4.Sony Xperia 1 II
hii pia ni simu iliyoboreshwa zaidi kwenye processor ya camer pia imeboreshwa kwenye upande wa video stabilization wakati unapo record video hata ukipata mtikisiko hauta affect video yako
3.Samsung Galaxy S20 ULTRA
hii ni hatari zaidi camera yake inafahamika kama space zoom ni camera bora zaidi kwa Samsung
2. iPhone 11 pro MAX
1.Samsung Galaxy note 10 +