Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
....kuwa siku ya tarehe 31 mwezi huu ambayo ndio siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, idadi wa watumiaji wa tovuti hii wataongezeka sana kupita kiasi. Mpaka sasa rekodi iliyokwa ya watumizi wengi ni tarehe 16, mwezi machi mwaka huu kama inavyoonekana kwenye nukuu hii "Most users ever online was 5,663, 16th March 2010 at 04:08 AM."
Sijui siku hii kulikuwa na nini lakini tarajieni hiyo rekodi kuvunjiliwa mbali. Natabiri watu 10,000 kuangalia JF kwa wakati mmoja siku hiyo.....
Sijui siku hii kulikuwa na nini lakini tarajieni hiyo rekodi kuvunjiliwa mbali. Natabiri watu 10,000 kuangalia JF kwa wakati mmoja siku hiyo.....