Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Nikiangalia mchezo uliochezwa na unaoendelea kuchezwa na NCCR MAGEUZI ni wazi ni mpango uliopangika vyema mno.
Ikumbukwe pamoja na Mbatia pia ndg Maalim Seif alifika Ikulu ya Dar es salaam kwa kile kilichoitwa kuteta na mheshimiwa Rais mambo kadha wa kadha yahusuyo Nchi.
Lakini, naamini ilikuwepo agenda zaidi ya tulichoelezwa na hiyo agenda kueleweka ni suala la muda tu kuanzia sasa na itaeleweka.
Natabiri Mzee Maalim kurejea CCM na atastaafu siasa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao 2020.