Natabiri Mzee Maalim Seif kurejea CCM na atastaafu siasa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao 2020

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
Nikiangalia mchezo uliochezwa na unaoendelea kuchezwa na NCCR MAGEUZI ni wazi ni mpango uliopangika vyema mno.

Ikumbukwe pamoja na Mbatia pia ndg Maalim Seif alifika Ikulu ya Dar es salaam kwa kile kilichoitwa kuteta na mheshimiwa Rais mambo kadha wa kadha yahusuyo Nchi.

Lakini, naamini ilikuwepo agenda zaidi ya tulichoelezwa na hiyo agenda kueleweka ni suala la muda tu kuanzia sasa na itaeleweka.

Natabiri Mzee Maalim kurejea CCM na atastaafu siasa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao 2020.
 
Maalim lazima arudi CUF. Alijiunga na chama kingine kwa hasira wameshaanza kupatana na Lipumba.
 
Seif alimwambia Magufuli anatakiwa awakutanishe viongozi wote wa upinzani, sio kuchagua anaowataka yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
kikwete na wapinzani.jpeg

Pengine ilikuwa tofauti na matarajio!
 
Nikiangalia mchezo uliochezwa na unaoendelea kuchezwa na NCCR MAGEUZI ni wazi ni mpango uliopangika vyema mno.

Ikumbukwe pamoja na Mbatia pia ndg Maalim Seif alifika Ikulu ya Dar es salaam kwa kile kilichoitwa kuteta na mheshimiwa Rais mambo kadha wa kadha yahusuyo Nchi.

Lakini, naamini ilikuwepo agenda zaidi ya tulichoelezwa na hiyo agenda kueleweka ni suala la muda tu kuanzia sasa na itaeleweka.

Natabiri Mzee Maalim kurejea CCM na atastaafu siasa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao 2020.
Haitotokea pole sana hujuwi mfumo... Ungeujuwa ungetabiri kitu kingine
 
Back
Top Bottom