Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Haki ya nani wewe ni punguani!
 
Sawa....ila waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na siyo kuteuliwa.
 

Akiwa mbunge kutoka jimbo gani?
 
Ilo haliwezekani, ila Bashiru atakuwa politician mwenye nguvu sana ndani ya CCM.
Unataka kusema wale wazee wenye chama chao watamuachia afanye anavyotaoa?
Bashiru alibebwa kwenye sahani kama wewe unavyoweza kubeba vitumbua kwenye sahani na kupeleka mezani,
 
Wote hao wawili watakuwa ni wale makamu wa rais aliowaita yudaz
 
Uwongo huo wote walipanga. Mama including.
 
Bashiru tunajua umechanganyikiwa tuliza Akila acha kupanua panua Domo hilo utaingiliwa na nzi
 
Pamoja na kuipenda tu hoja yako labda kwa maneno, ila ukweli ni kua wazir mkuu hutokana na wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Hadithi hadithi....
 
Mungu atuepushie mbali
 
Waziri mkuu anatakiwa mbunge anayetokana na kura za wananchi huyu ni huyu ni wa hisani ya viti vya wanawake anaikwa kivipi nafasi uliyompendekeza
 
Anaweza akawa PM ajaye kwa maana hukuna ajuaye ya kesho. Lakini kwenye Bunge hili hawezi kwasababu PM lazima awe Mbunge aliyechaguliwa na wapiga kura katika Jumbo la Uchaguzi.
 
Ukweli niliouona kwenye andiko lako ni kuhusu Majaliwa kupoteza kuaminiwa na wananchi baada ya kubwabwaja uongo mbele za Mungu msikitini , hili silikatai hata chembe
 
Anaweza akawa PM ajaye kwa maana hukuna ajuaye ya kesho. Lakini kwenye Bunge hili hawezi kwasababu PM lazima awe Mbunge aliyechaguliwa na wapiga kura katika Jumbo la Uchaguzi.
Hata hivyo Majaliwa naye hakuchaguliwa na wananchi , alihakikisha wagombea wa vyama vingine wanatekwa ili apite bila kupingwa , baadhi ya waliotekwa waliokotwa Mkuranga .

Nadhani Majaliwa ndio PM wa kwanza duniani aliyeogopa uchaguzi wa kidemocrasia , nadhani hii ni rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…