hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
chanzo ni kuwa dini imekuingia saana
sasa oa tu uwe na amani
haleluyaaaaa! Glory to God! Watu wamefunguka macho.Uzinzi brings GUILTY feelings na ukiona umeanza kuwa comfortable with it jua umekwisha!
watoto wanatusumbua eeh! Ngoja nikusanye birth certificates zao tuedit umri.Watoto show
miaka ya nyuma Nairobi nilikuta watu wanapenda sana kupanda matatu iliyokuwa inaitwa haleluya express nikadhani labda ni ya mtu wa dini lakini nikaambiwa dereva anaikimbiza sana na anajuwa shortcuts zote ukiwa ndani unakuwa na hofu tele lakini unawahi kazini watu wakaibatiza jina hilo na dreva akaliandika nyuma.haleluyaaaaa! Glory to God! Watu wamefunguka macho.
ukiona hvyo its an alert toka kwa roho mtakatifu anakushuhudia uache kwani umeshajua dhambi yako na ukicheza utaukwaa ukimwi kweli. Unachotakiwa kufanya sio kumchukia msichana, uchukie uzinzi na utakuwa na amani. Na pia oa utakuwa na amani ukimdo wa kwako.hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
Kwa nini hujisikii hivo kabla ya tendo?hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
Eti akisha maliza ndio anajuta kwa nini asijute wakati anakiss then akimbie.....dini ingekuwa imemuingia asingekuwa mzinzi...
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
Eti akisha maliza ndio anajuta kwa nini asijute wakati anakiss then akimbie.....