Nasumbuliwa sana Facebook? Tatizo ni nini wanaume wa Dar?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.

Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.

Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .

Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.

Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!

Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
 
We si ndo huyu Jana ulikua unalalamika unasumbuliwa na vibarango...

Screenshot_20240122-140832~2.jpg

Dah kwa io kwa picha hizo ndo umekiwasha Facebook Kila siku inbox zinajaa sio?
 
Nimejiunga kwene huo mtandao tangu 2020! Sikua mtumiaji.

Tangu nilipojiunga sikuwa napost chochote wala kuweka profile.Sasa mwezi wa 12 kutokana na kutokua busy bas nikawa na upload picha zangu pamoja na profile.

Mi ni mfanya mazoezi hivo huwa napost picha za mazoezi .

Tangu december aisee text ninazopokea kwa siku hata 21 ukikaa siku mbili ukijakuangalia unakuta hata text 41.

Najiuliza shida ni mazoezi au ni nini??
Lakin wengi n mashoga au watu wenye mlengo huo!!

Nifanyaje shida ni picha au shida ni baadhi ya marafiki ninaopokea request??
Mashoga na wasagàji wengi kichaka chao cha kujificha ni kwenye gym za mazoezi.

Sifahamu kwanini lakini ni hivyo nchi nyingi sana.
 
Back
Top Bottom