HahahaaaWachawi wa siku hizi hadi kitimoto wanakula
Nimeona hii Mr msoma commentshahahahaha.
weka sindano mtunduni akijaribu achomwe!
uskute msela unalala nae anakuekea ugoro kweny kinywaji afu anajipakulia
Okoka, mpe Yesu Maisha yako, amin usiamini, jinamizi litakimbia, hutakuja kuliona tena. Mungu anaweza yote. pia jua, mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi, soma Warumi 1:27Habari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana, asubuhi au usiku. Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.
Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kama kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile. Inauma sana!
Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga wale wa mitishamba na wanaoutumia vitabu vya kiarabu pia kwa watumishi mbalimbali kuombewa. Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi. Nimepoteza pesa nyingi sana kwenye hili suala,nyingi!
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii.
Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe.
Hali hii inasimbua tangu sijamaliza hata chuo, zaidi ya mwaka wa Saba. Kipato changu ni kizuri na najimudu vizuri na kuishi maisha mazuri tu. Hali hii pia huwa inanitokea hata nikiwa nimelala na mwanamke wangu.
Warumi 26-27Habari za Jioni wakuu!

Ongea na wazee wako mkuu.... Mambo ya bloodline hayo....Nimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,