Mkuu usidhihaki sana. Hivi vitu watu hatukuviomba. Shukuru Mungu uko mzima na hujapata hizi ghiliba. Asante!Wait..... So inapokukuta unakuwa upo macho au katika hali ya usingizini.
Yaani unaweza kaa sebuleni ukashangaa mkono wa njemba unakupapasa, mara kidogo busu..... Hivyo au?!
Mkuu usidhihaki sana. Haya maisha yana fumbo kubwa sana.Mshana Jr oya we msela wa zamani, njoo utoe utatuzi kuna mtu analiwa kinyeo huku usingizini, msaidie asije akanogewa akaanza kugawa mwenyewe macho makavu.
Badirisha upepo kunamtu anaweza kukusaidia hayo hua yapo Ila ni shekhHabari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana, asubuhi au usiku. Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.
Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kama kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile. Inauma sana!
Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga ama kwa watumishi mbalimbali kuombewa. Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi.
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii.
Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe.
Hali hii inasimbua tangu sijamaliza hata chuo, zaidi ya mwaka wa Saba. Kipato changu ni kizuri na najimudu vizuri na kuishi maisha mazuri tu. Hali hii pia huwa inanitokea hata nikiwa nimelala na mwanamke wangu.
Kabla ya kutafuta msaada wa kiroho au kimazingara ebu jaribu kucheki historia yako ya nyuma kidogo.Usikute ulishawahi kumfanyia mtu ubaya akakuapiza kukukomesha.Maana bora walinyama kuliko walimwengu.
Nakuuliza swali mkuu unakuta na manii kabisa au inakuaje?Nimeishi mikoa zaidi ya mitano na hii hali haiindoki. Hata nikilala Hotelini. Imagine hata nikiwa nimelala na girlfriend!!!
Vitu hivi vinatokea watu wengi ila hapa wengi ni kebehi tu.mi nilipokuwa sec school nilikiwa naota sana kukabwa nikilala,mpaka nikawa sipendi usiku uingie wakati mwengine mchana.inawezekana kweli wakati mwengine position unayolala lakini,kuna zaid ya hilo.Nahis ilo watu wanaloita jinamizi.Mimi kwa Imani yangu huwa tuna visomo vya kusoma haya mambo yakikutolea na ndo ilonifanya niwe nalala vizuri,na kwangu ilikuwa mbaya sana nikawa siwezi hata kulala nyumba ya peke angu nilikuwa mwoga sana wa kulala.Ivo tafuta unaemwamini akuombee kwa vile unavyoamini,lakini kwa Mganga sishauri unaweza ukaenda ukazidisha matatizo,kwa Mungu hakishindikani kitu.Mkuu usidhihaki sana. Haya maisha yana fumbo kubwa sana.
Hivi vitu watu hatukuviomba. Shukuru Mungu uko mzima na hujapata hizi ghiliba.
Asante!
Mleta mada ana tatizo anahitaji msaada.Mkuu,hiyo hali haihusiani na hilo jambo ulilolitaja,
Unajua ndoto ni reflection ya kile mtu akiwazacho au ambacho hukiona mara kwa mara mpaka kitu hicho kikawa recorded na his brain,
Jibu langu halikuhusiana na ndoto coz hilo analodai mleta mada kua ni Jinamizi sio jinamizi kama anavyoamini.
Poor mind! Who are psychologist ?Kaka nimesem hv..ww uko affected kisaikolojia.haijalishi ni hela au nin..relax mzee
Kuna watu wapumbavu sana,na wanajikuta werevu na kila maisha wameyapitia..Jamiiforums siku hizi ina watu wa ajabu ajabu. Unaweza usipate msaada unaouhitaji.
Wengine nao wajuaji tu hata kama hawajui kitu. Basi ilimradi nao wamejitutumua kwa lolote.
Mizaha mizaha tu na kujitia werevu. Kila mtu anataka kuonekana ana maarifa.
Nafikiri ile kauli mbiu ya kusema kwamba Jamiiforums ni "home of great thinkers" ndio haswa inayowafanya hata wajinga wadhani wana akili timamu mara tu wanapojiunga humu.
Ni kama vile wanafikiri kwamba wanapojiunga humu wanapata 'automatic licence' ya kuwa WAJUVI, ama wanapokea miujiza fulani ya kuwa na akili nyingi.
Hata wale MAAMUMA wasiojua japo kusafisha kinywa, na wao unawakuta wanatoa ushauri mahali.
Bwana mkubwa nikupe pole sana. Hebu tafuta wataalamu wa kiroho watakusaidia.
Lakini pia, mambo ya kiroho yanahitaji mchakato unaohusisha toba, sala na dhamira ya kweli.
Pole sana.
Mara nyingi hii Hali inaweza kuchangiwa na msongo wa mawazo, kama Kuna kitu Cha muda mrefu kinachokusumbua kwenye akili yako aidha kukosa kazi, pesa, mapenziNimejitahidi sana kwenda mkuu. Inaniumiza sana kwa kweli,
kuna mbinu rahisi sana za kutumia unapokuwa katika hali hiyo, jaribu kukunja kidole cha mguuni au mkononi. Utaamka hapo hapo hii ni hatua ya kwanza, ukiiweza kuna namna ya kujifunza kutawala ndoto zako na hatua nyingine ni kukukabili kile unachokiogopa.Hali hii huwa haichagui style ya kulala. Iwe ubavu ,chali au kifudifudi inajitokeza.
Niwie radhi mkuu, sijakudhihaki ila nimeleta masihara yenye ukweli ndani yake ktk jambo la serious.Mkuu usidhihaki sana. Haya maisha yana fumbo kubwa sana.
Hivi vitu watu hatukuviomba. Shukuru Mungu uko mzima na hujapata hizi ghiliba.
Asante!
kwa kweli kuna watu wanaleta ujuaji wa kipuuzi sana"Walimwengu" hawa watu nihatali sana..Pole mkuu.
Majibu ya hapa 98% yatakuwa yakimasihara utajiongezea matatizo mengine bure.
Duniani kuna ujinga mwingi sana.kuna wajinga wachache wanapenda ujinga na wanaendeleza ujinga.
Usichoke kutafuta jibu pambana watakufelisha hao wajinga...
Pole Sanaa mkuuu nachoshauri Ni hikii moja chunguza Kama ulishawahi fanya ovu lolote kwa yeyote yule alafu kaombe msamaaha then muombe Mungu serious kabisa yaani follow all principal in prayer Kama acha dhambi ,nyenyekea kwa Mungu , nakuomba usiishie hapo tu Bali mueleze Mungu nn kinakushinda simamia hapa ## Yeremia 33:3 Niiteni nami nitawaitikia na kuwaonesha mambo mkubwa magumu msiyoyajua# ### pole mkuu # upo wapi wewe nione namna ya kukusaidiaHabari za Jioni wakuu!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Naomba ushauri kwa hili suala la kusumbuliwa na majinamizi haya wakati napokuwa nalala iwe mchana, asubuhi au usiku. Japokuwa hii hali huwa haitokei kila siku ila haipiti mwezi au wiki mbili ikajirudia.
Nakuwa nakabwa na Kinataka kuniingilia kinyume cha maumbile. Na nikiamka nasikia kama kuna mtu kanifanyia kitu kinyume na maumbile. Inauma sana!
Hii hali nimepambana nayo sana sio kwa Waganga wale wa mitishamba na wanaoutumia vitabu vya kiarabu pia kwa watumishi mbalimbali kuombewa. Ila mpaka sasa bado sijapata ufumbuzi. Nimepoteza pesa nyingi sana kwenye hili suala,nyingi!
Hali hii inanipa stress mpaka kuna kipindi natamani kujidhuru niondoke dunia hii.
Inaniumiza sana. Nifanyaje halii hii iishe.
Hali hii inasimbua tangu sijamaliza hata chuo, zaidi ya mwaka wa Saba. Kipato changu ni kizuri na najimudu vizuri na kuishi maisha mazuri tu. Hali hii pia huwa inanitokea hata nikiwa nimelala na mwanamke wangu.