Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 744
Natumaini mu wazima hata kama sio mia kwa mia lkn pumzi ipo.Mwenzenu nina shida hasa inayonikosesha furaha ya maisha maana nimeolewa mwaka Wa tatu sasa sijafanikiwa kupata mtoto, sijawahi kutoa mimba ila nimekunywa dawa nyingi za mitishamba bila mafanikio.
Mwaka Jana mwishoni nilienda hospitali wakagundua nilikuwa na fungus kwenye kizazi na mirija yote ilikuwa imeziba,walinipa dawa za kutibu iyo fangas na niliona mabadiliko na pia walinizibua mirija nayo pia niliona mabadiliko.
Sasa ni miezi mitano imepita bado sijashika mimba,sasa bas najua humu kuna madoctor au wahanga ambao waliwahi kupitia hali kama yangu Kwa kweli naomba msaada wenu.natanguliza shukrani zangu za dhati
Sent using Jamii Forums mobile app