Uchaguzi uganda umekwisha , Tume ya uchaguzi Uganda imemtangaza Museven kuwa ameshinda kiti cha uraisi kwa asilimia 60.75 .
Dunia nzima imeona kilichotokea Uganda , Museven katumia mabavu kurudi madarakani , demokrasia imebakwa , maamuzi ya wananchi hayajatekelezwa wala kuheshimiwa , wapinzan wamenyanyaswa kipindi chote cha kampen na wameendelea kunyanyaswa mpaka hata baada ya uchaguzi . Kipindi chote cha uchaguzi alifungia mawasiliano ya mitandao ya kijamii ( FB , Twitter , WhatsApp etc ) , mpaka miamala ya pesa kwa njia za simu pia ilifungiwa.
Raisi wangu Magufuli , najua ni itifaki kwa wewe kama mkuu wa nchi kutoa pongeza kwa jiran yako Museven kwa ushindi aliopata , tafadhali sisi kama wananchi tunakuomba ukiwa unatoa hiyo pongezi , itoe kama mtu binafsi na sio kwa niaba ya wananchi wa Tanzania . Kwa sabab sisi kama watanzania hatujakubaliana na kilichotokea Uganda , hatuwezi kuwa wanafiki au kuwa kimbelembele kupongeza wakati demokrasia na haki ya msingi ya majirani zetu ikikandamizwa.
Kwa wale mnaouliza kwa nini nawasemea watanzania wote .

Alicho kifanya museveni tunakilaani sisi watanzania wote wenye mapenzi mema na utawala ulio bora duniani kote