Nassari, Lema wadai kutishiwa kifo

Hizi ni propaganda za CHADEMA tu ili waonewe huruma........ kwani wameanza kushinda majimbo mwaka huu?? mbona wabunge wao wote wapo hai??? suala la kuuawa kiongozi wa chama, hata CCM aliuliwa mwenyekiti wa wilaya kule mbeya hivi karibuni, je? CHADEMA ndio walimuua?? suala la kuuana arusha halijaanza leo

hata mwakyembe tulianza kwa kumpuuza hivi..ni kuulize swali kwa kuwa mkiti ccm huko mbeya basi ni halali na wa chadema kuuwawa.
 
Siku ambayo vyombo vyetu vya usalama vitaamua kufanya kazi kwa weledi, siku ambayo usalama wa watu utakuwa na maana kuliko maslahi ya chama ni siku ya kuondokana na fedheha hizi!!
Hakutakuwa na habari za kiintelijensia ambazo kila mtu anaweza kuzihoji, hakutakuwa na matamko kama kule Usa River yanayoashiria upelelezi kukamilika wakati hata haujaanza kufanyika!!
Hakika ni siku ya ukombozi! Naingoja kwa hamu, Mungu nijalie kuiona siku hiyo!!
 
anayetaka kukuua hakutumii ujumbe.............

Usikariri Roots!! Mwenyekiti wa CUF kibaha kijijini alitumia taarifa ya kuuwawa siku mbili b4 kifo chake na akamwambia mkewe taarifa hyo,Hii issue lazima ifuatiliwe kwa umakini hata kama ajasajili line its easy kwa voda kutrace na kumhisi ni nani na kufanya uchunguzi kirahisi.
 
Cdm imarisheni technology maana serikali haiwezi !. Hata kama namba haijasajiliwa, inawezekana ku- track. Fatilieni nje mtaambiwa. Hata kama baada ya hapo laini ilitupwa.
 
Ccm na polisi ni kitu kimoja wanafanya kazi kwa ushirikiano, hapa chadema na wananchi wapenda haji tujipange kupeana ulinzi
 
acha fikra mgando ndugu,mbona mwanasiasa wa cuf aliyeuwawa juzi pwani alitumiwa ujumbe kuhusu kifo chake cku mbili kabla na ikatokea kweli,tahadhari ni muhimu kaka sio kudharau kila unachoambiwa
 
Ah! .....




Wanachadema watapoanzaa kujibu na kuanza kuwachinja wana CCM........

Hapo ndipo kina Saida Mwema IGP, Jack Zoka UWT wataanza kuongea kwa ukali na kusema CHADEMA inastahili kufutwa ..

ikiwa pamoja na kuwafungulia kesi za mauaji kina Dr Slaa, Mbowe,na viongozi wengine wa CDM.

..Sasa CDM itabidi waanzishe Umkotho wa Sizwe ili waweze kujilinda....lasivyo watamalizwa na genge hili la majambazi wa

CCM.





....
 
Tunapoelekea ni pabaya sana,usalama wa taifa/jeshi la polisi nnaomba mlifuatilie hili suala kwa mapana zaidi.Mnakumbuka Yule jambazi sugu aliempiga risasi polisi na kumuua pia aliwajeruhi polisi wengine na hakika tukio hili polisi walitoa dau la sh milioni5 kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa jambazi huyo.Polisi mlishirikiana na makampuni ya simu hatimae mkampata alikokuwapo na mkamuua sababu alikuwa ni mtu hatari.Hawa wanaotuma ujumbe wa vitisho dhidi ya viongozi wa Chadema sio wa kuwapuuzia,sababu Kama na wananchama wa Chadema wakiamua na wao kuwatishia/kuwaua viongozi wa ccm unafikiri itakuwaje?.Polisi lifanyieni kazi suala hili,onesheni ushirikiano wa kuwalinda raia wote bila kupendelea.
 
Nimeshangazwa sana na vitisho hivi. Juzi mke wangu aliota ndoto kwamba mbunge mmoja wa CDM ameuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana lakini kutoka katika kundi fulani hivi la kisiasa. Mke wangu ndoto zake kwa 98% huwa za kweli. Nilikuwa niandike hapa ndani ili kutoa taadhari lakini nikaona inaweza isieleweke vizuri lakini kwa kuwa imetokea basi ni vema viongozi wote hasa wa CDM wakachukua taadhari kwa ulinzi. Lakini pia kwa wale wanaoweza kuomba basi ni vema wakawaombea viongozi hawa kwani kwa Mungu yote yanawezekana!
 
i am not terrified at all .... those are cowards acting in self defense
 
Hizi ni propaganda za CHADEMA tu ili waonewe huruma........ kwani wameanza kushinda majimbo mwaka huu?? mbona wabunge wao wote wapo hai??? suala la kuuawa kiongozi wa chama, hata CCM aliuliwa mwenyekiti wa wilaya kule mbeya hivi karibuni, je? CHADEMA ndio walimuua?? suala la kuuana arusha halijaanza leo

Hayo ni mawazo yako yaliyochanganyikana na ulevi na upuuzi, nani wa kuonewa huruma? waruhusu Chadema waingie kazini kazini waone kama watasalimika..Chadema wanaheshimu tu utawala wa sheria lakini vinginevyo kuwashughulikia watu hao wala haimalizi siku mbili.
 
Nadhani usajili wa hizi line ungehusisha una uchukuaji wa alama za vidole, kama ilivo kwenye mamlaka zingine.
 
Arusha tuna subiri kauli ya serekali,wakishindwa kutilia uzito iliswala,tuna jiandaa kwa mapambano,watu wachache awawezi tusumbua akili.watu makini tupo tumetulia polic wakishindwa watupe kazi tuwaletee tumeua au wazima,pimbi wadogotu ao.
 
hapa ndipo napoona faida ya kusajili namba ya simu. Hawa watu lazima watapatikana sababu jamaa wa voda wameshawasajili namba zao

Kuna namba mpya zinazoweza kutumika kwa hadi mwezi mzima bila kusajiliwa na i hope hiyo loophole iliondolewa na kama ilisajiliwa basi itakuwa rahisi kuwadaka hawa mawakili wa shetani kama polisi watataka kufanya hivyo maana na wenyewe huwa hawaeleweki sometimes....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom